Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI

Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17.
1737971236415.jpg

Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana balehe wa shule za msingi na sekondari mkoani Njombe.

Hali ya ukimwi sio poa! Mambo ni mabaya!
 
View attachment 3215502

Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana balehe wa shule za msingi na sekondari mkoani Njombe.

Hali ya ukimwi sio poa! Mambo ni mabaya!
Hivi vijana wadogo wa miaka 14 hadi 16 wanafanya ngono? Au wanapata maambukizi kwa sababu zingine?
 
Kwa hizi dawa za kurefusha maisha hali itakuwa mbaya sana, maana mzima ana onekana mgonjwa na mgonjwa ana onekana mzima

Trump anaenda kuzuia dawa hizo kuja Afrika. Maana yeye anatuona kama ngedere wasiojielewa.
Anasema, wenyewe wanachakata papuchi kwa kwenda mbele. Mpaka JF wana uzi wa kula tuna kimasihara. Halafu sisi ndiyo kodi zetu ziende kufubaza virusi vya ukimwi kwao. Pimbi kabisa hawa. Acha hao wafu wazikane
 
Inaonekana njombe uchi unatafunwa sana!
Inawezekana hawana kasi hiyo ya ngono ila tayari watu wengi wana HIV, unaweza ukafanya ngono na watu 100 tofauti bila tahadhari Kaskazini Pemba na usipate HIV kwasababu maambukizi yako chini ya 0.2% ila kwa Njombe ukitoka na watu 7 tofauti ngumu kutoboa bila HIV.
 
Trump anaenda kuzuia dawa hizo kuja Afrika. Maana yeye anatuona kama ngedere wasiojielewa.
Anasema, wenyewe wanachakata papuchi kwa kwenda mbele. Mpaka JF wana uzi wa kula tuna kimasihara. Halafu sisi ndiyo kodi zetu ziende kufubaza virusi vya ukimwi kwao. Pimbi kabisa hawa. Acha hao wafu wazikane
Yuko sahihi pesa ni zao , wana haki nazo
 
Mzee hao wanachapana kweli kweli halafu mnasema wadogo
Binafsi nimeanza ngono nina maika 20+ so nafikiri umri chini ya 18 vijana hao wengi wao wanakuwa shuleni na home. Mazingira ya kufanya ngono ni magumu sana kwao.
 
Umechelewa chini ya miaka 20 wana maambukizi makubwa sana , acha kujidanganya kwa kizazi cha sasa
 
Back
Top Bottom