Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Kuna kibinti kimoja cha kitanga miaka 20 tu kirembo kina shape moja matata sana maskini kimekutwa na Ngoma mpaka Leo nikinwangalia siamini kabisa yaani akisema ausambaze ni dk 0 tu maana sio Kwa kugombaniwa huku na vijana mabachela na waume za watu pia na Mimi nikiwemo