Baridi inachangia pakubwa..Inaonekana njombe uchi unatafunwa sana!
Hivi vijana wadogo wa miaka 14 hadi 16 wanafanya ngono? Au wanapata maambukizi kwa sababu zingine?Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17.
View attachment 3215502
Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana balehe wa shule za msingi na sekondari mkoani Njombe.
Hali ya ukimwi sio poa! Mambo ni mabaya!
Inaonekana njombe uchi unatafunwa sana!
Mzee hao wanachapana kweli kweli halafu mnasema wadogoHivi vijana wadogo wa miaka 14 hadi 16 wanafanya ngono? Au wanapata maambukizi kwa sababu zingine?
Kwa hizi dawa za kurefusha maisha hali itakuwa mbaya sana, maana mzima ana onekana mgonjwa na mgonjwa ana onekana mzima
Inawezekana hawana kasi hiyo ya ngono ila tayari watu wengi wana HIV, unaweza ukafanya ngono na watu 100 tofauti bila tahadhari Kaskazini Pemba na usipate HIV kwasababu maambukizi yako chini ya 0.2% ila kwa Njombe ukitoka na watu 7 tofauti ngumu kutoboa bila HIV.Inaonekana njombe uchi unatafunwa sana!
Yuko sahihi pesa ni zao , wana haki nazoTrump anaenda kuzuia dawa hizo kuja Afrika. Maana yeye anatuona kama ngedere wasiojielewa.
Anasema, wenyewe wanachakata papuchi kwa kwenda mbele. Mpaka JF wana uzi wa kula tuna kimasihara. Halafu sisi ndiyo kodi zetu ziende kufubaza virusi vya ukimwi kwao. Pimbi kabisa hawa. Acha hao wafu wazikane
za njombeMbona December mosi walisema ukimwi umepungua khaa hizi takwim za wap tena
Binafsi nimeanza ngono nina maika 20+ so nafikiri umri chini ya 18 vijana hao wengi wao wanakuwa shuleni na home. Mazingira ya kufanya ngono ni magumu sana kwao.Mzee hao wanachapana kweli kweli halafu mnasema wadogo
Bard wap babuu unataka uaminishe njombe bard nikali kama greenland? Mh mm naona tatzo elimu elimu elimuBaridi inachangia pakubwa..
Umechelewa chini ya miaka 20 wana maambukizi makubwa sana , acha kujidanganya kwa kizazi cha sasaBinafsi nimeanza ngono nina maika 20+ so nafikiri umri chini ya 18 vijana hao wengi wao wanakuwa shuleni na home. Mazingira ya kufanya ngono ni magumu sana kwao.
Mmmmh njombe tenaza njombe