Utafiti wa vidonge vya uzazi kwa wanaume kufanyika Kenya

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
2,968
Reaction score
8,139
Kenya imechaguliwa kuwa sehemu ya utafiti wa vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume.

Nchi nyingine zinazoungana na Kenya ni
Uingereza, Italia na Chile ambapo wanaume watatakiwa kunywa kidonge kimoja kila mwezi.

Taasisi ya taifa ya maendeleo ya afya ya mtoto ilitengeneza kidonge kwa ajili ya kuwahimiza wanaume kutumia njia za uzazi wa mpango.

Inaelezwa kuwa mwanaume anayetumia kidonge anatarajiwa kupunguza idadi ya mbegu za kiume ndani ya saa 72 na kupunguza uwezekano wa kutungisha mimba.

Jaribio hili linatarajiwa kufanyika kwa miaka minne, wataalamu wakisema kuwa mpango huu unahitaji jitihada za pamoja za jinsia zote ili kufikisha lengo la asilimia 70.

Ingawa kumekuwa na msukumo kwa wakenya kukubali kidonge hicho, mpango huo umekosolewa swala la maadili na madhara yake baada ya dawa hizo kuwafikia vijana hali ambayo inadaiwa kuwa vitendo vya ngono vitaongezeka
miongoni mwao.
 
Hiyo tupa kuleee!! Si rais wenu alisema mfyatuee atasomesha, na sisi huku tunaiga kufyatua hadi rais Uhuru aikimbie nchi...
 
Ila bana hivyo vidonge acha vije tu. MAANA kuna kipindi nilipiga dabo dabo mpaka nikachanganyikiwa. Jamaa wengine wakawa wanasema unataka kuua nini!? Asikuambie mtu bandika bandua ni shidaa. Ikabidi nimlete bi mkubwa TOKA kijijini aje kutusaidia kulea.
 
Kenyans will accept to be guinea pigs in return for aid 🙂
 
Hmmmn...Guys, only do it when you have had the number you desire...If I was young and unmarried would not touch that with a ten foot pole...Most modern girls know how to family plan...I would hope...I wish I had more than the two living God gave me..I side eye some of these pharmaceutical testing but I guess someone has to be the guinea pig...
 

Kweli ukiwa huna mtoto don't try it. Unaweza kuta ndiyo nitolee hiyo, yaani moja kwa moja, huji kupata mtoto kamwe.

Halafu isije ikawa ndo inapunguza nguvu za kiume.
Teh teh teh tihiii
 
Kweli ukiwa huna mtoto don't try it. Unaweza kuta ndiyo nitolee hiyo, yaani moja kwa moja, huji kupata mtoto kamwe.

Halafu isije ikawa ndo inapunguza nguvu za kiume.
Teh teh teh tihiii
Kweli...Some medications have irreversible side effects...Their aim is to family plan which is noble but just exercise caution before taking any medication...(sorry my Swahili does not meet JF standards...please forgive me)...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…