Lizzy haya bana nini tena? Yana ukweli haya?
Ni kweli wanaume hukaidi kutumia njia za uzazi wa mpango?
Na wewe ni:
...wachaga wa MMU poleni....
Jamaa wana hasira kweli na nyie...
Chagaz hater,......ningeomba nikupe tip tu hapa Tanzania kama utakwenda sehemu na ukakuta hakuna mchaga basi usijisumbuwe kuwekeza eneo hilo. Wachaga ni alama ya mafanikio hapa Tanzania, kwa kifupi hawa ni wahindi weusi hayo maneno mengine ni porojo tu.
...................... infant mortality?
I think the problem is not linked to their tribe but to their location (poor rural area where customs still play a big role). Sijui waonaje?
tutafanyaje sasa......ila ki ukweli tunakimbiza....baada ya wiki JF.....uzi kuhusu wachagga....hii ina maana tuko mbele sana eeeh....
ila mtoa mada sijui hajawaona na wasambaa...? ...
EMT, naomba niulize: Huu uchunguzi umeonesha kua wakaazi wa eneo hizo wana matatizo hayo. Inakuaje wakihama na kwenda eneo zingine? Au inakuaje watu tokea eneo zingine wakija huko?
I think the problem is not linked to their tribe but to their location (poor rural area where customs still play a big role). Sijui waonaje?
umeonaeee. kazi mnayo. jirekebisheni na mila chafu.Haya bana.
Unavo jibu wewe naona kama ume-link tatizo hili na wachaga... But it is hard to believe that ni tatizo la kabila. Anyway, wewe ndie ulizoma na ku-summarize article.Labda tuangalie sababu walizozitaja: imani potofu, mila na utamaduni, itikadi za kidini na ulevi wa kupindukia. Je wakihama watahama na hizi practices au wataziacha? Au wakihamia watu wengine toka sehemu nyingine wata-adopt au hawata-adopt hizi practices? Kuhusu kuwa ni ni poor area, Kilimajaro kwa ujumla imeendelea zaidi kuliko baadhi ya sehemu nyingine za nchi kama kusini.
Upo tayari kulea kazungu?Duh, ngoja waje wenyewe.
Rejao, naomba mbegu mbili za mahindi.
suala ni kuwa wachaga ndo wameonekana wanazaliana hovyo kama kuku. sasa unataka na wengine ili iweje.Tafiti hii ni kama iko biased kwa eneo moja tu. Sio kwa Tanzania nzima.
Asante sana kwa kunukuu maneno ya JM Kikwete- The President of URTChagaz hater,......ningeomba nikupe tip tu hapa Tanzania kama utakwenda sehemu na ukakuta hakuna mchaga basi usijisumbuwe kuwekeza eneo hilo. Wachaga ni alama ya mafanikio hapa Tanzania, kwa kifupi hawa ni wahindi weusi hayo maneno mengine ni porojo tu.
leo wameshikwa leo. kila siku wanaambiwa mamila yao machafu lakini huwa wanakuja juu. sasa utafiti ndo huo....wachaga wa MMU poleni....
Jamaa wana hasira kweli na nyie...
it is fair. natoa pongezi kwa waliofanya utafiti huo.is not fair kabisa....:A S 13: