Kweli ww umedoda kama jina lako, hizo tafiti zimefanywa na binadamu kama ww na pia unatakiwa ujue kitu nachoitwa research critics, sample space im
Echukuliwa rombo tu na hayo maeneo mengi ya kilimanjaro wanamwachia nani? Mbona hawajaongelea infant mortality? Au na wewe mleta mada usiwe kama JUHA kila unachoambiwa hukichuji kwenye hako kaubongo kako ka jongoo kasikokuwa hata mwelekeo. Ila siyo makosa yako ila ni ya ................! Najaribu tu.