Utafiti: Wafanyakazi wanaolipwa maslahi duni ndio wanaoihujumu kampuni au serikali iliyowaajiri

Utafiti: Wafanyakazi wanaolipwa maslahi duni ndio wanaoihujumu kampuni au serikali iliyowaajiri

Amna mkuu Kwa kuwa "serikali inajifanya inatulipa na sisi tutaendelea kujifanya Kama tunafanya kazi "

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo tunaita patulo.
Muuza Cheni kauza ya bandia kamtoroka mnunuzi wake ambaye naye kamtoroka kisa katoa fedha za bandia
 
  • Thanks
Reactions: a45
Hiyo tunaita patulo.
Muuza Cheni kauza ya bandia kamtoroka mnunuzi wake ambaye naye kamtoroka kisa katoa fedha za bandia
Tit 4 tat is the most fair game


Nikanyage ugoko nikupige buti la shingo
 
Habari wakuu!

Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka.

Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as security officer 2014-15.

Kisha nikaacha kazi kwasababu zangu binafsi then nikaajiriwa na four Seasons hotel kwenye hifadhi ya Serengeti (Nafasi kapuni). Nikitaja nafasi naogopa watu niliofanya nao kazi kuunganisha nukta.

Kazi ya four Seasons niliacha kabla hata sijamaliza mwezi kamili baada ya kuitwa kazini kwenye ofisi moja ya serikali ambako niko mpaka sasa. Na huku malengo yangu July mwaka huu niache kazi ingawa nahisi something hakiko poa hivyo nitaongeza mwaka mmoja au miwili mbele.

Tathmini niliofanya nikiwa sehemu zote 3 katika ajira nimegundua boss anapokwepa wajibu wake wa kumlipa vizuri mtumishi wake basi kuna uwezekano mkubwa wa kutiwa hasara kimyakimya na mfanyakazi wake bila yeye kujua haraka.

Tabia ya rushwa na wizi ni natural kwa mtu husika but ugumu wa maisha unamfanya kila mfanyakazi mwenye kipato kidogo kujihusisha na ubadhilifu wa mali za umma au kampuni.

Boss unaweza kushangaa kwanini ofisi haisongi mbele mpaka utahisi unarogwa kumbe unaliwa kimyakimya na watumishi wako wanaolipwa kidogo kwa baraka zako.
Hakuna mfanyakazi mwenye maslahi duni duniani asiyemuhujumu mwajiri wake direct or indirect. Never.

Lazima atahujumu either time, assets, accessories mbali mbali au fedha.
mkuu walikua wanakulipa kiasi gani..maana nahitaj kjua sec.officer mshahara wao pale
 
Back
Top Bottom