Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
Mkuu CUF haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar...nazungumza uchaguzi kwa maana yake.
basi mara hii kwa mara ya kwanza kwa mtakavyo nyny mnapoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu CUF haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar...nazungumza uchaguzi kwa maana yake.
RichardUtafiti haupingwi majukwaani, bali kwa kufanya utafiti mwingine na kuthibitisha kwamba ule wa zamani haukuwa sahihi. Uzalendo sio kupinga utafiti bali kuufanyia kazi mapema kabla mambo hayajaharibika.
Hivi wiki mbili zijazo kama utafiti utaipa CCM 60, na Chadema 40, utaukataa? Mfalme akiwa uchi, heri kuambiwa mapema avae nguo kuliko kumshabikia wakati unajua kabisa hajavaa nguo.
CCM wanaweza kushinda lakini sio kwa kishindo; Pia CCM wanaweza kushindwa japo sio kwa kishindo. Hakuna kisichowezekana
Mnasemaje wakuu wenzangu?
Asante mkuu kwa kuendelea kuleta confirmation za habari tunazoendele kusikia, ila naomba niulize Redet matokeo yake ni yapi maana hiyo ya 44% - 41% tuliambiwa ni ya Synovate.Wanajamvini:
Nimepata kubahatika kuongea na mtalaam mmoja wa mashirika haya ya utafiti na amabye ameshiriki; so far anasema analysis mbili zinazofanana zimeshatolewa na Synovate/Redet na zote zinampa Dr Slaa uongozi; ni ganzi wamepigwa so wamekataza matokeo kutolewa; so imebidi watoe matokeo ya vyombo vya habari na coverage wakati ilikuwa sehemu tu ya utafiti; redet hata hiyo wanasita kuitoa maana mashirika ya kimataifa yanaweza kuleta balaa kwa kipindi hiki;maana Dr Slaa anaongoza with 44% and JK 41%; Inasemekana Dr Slaa anajulikana sana vijijini kuliko mijini; ndio maana hata timu ya kampeni ya JK imemnyima muda wa kupumzika; wametuma watu maalum mikoani kuzima upepe ingawa nahisi watakuwa wanakula poisho za bure maana tayari wananchi wameshaamua; Chadema na huu mkakati wa Dr Slaa kukomalia vii=jijini zaidi naona ina manufaa mkubwa; heri usiandikwe baba ila kazi wataiona Oktoba 31
My Take: Redet/Synovate kama hamtatoa majibu haya na ni vema mashirika yenu yafe sasa; hatuyahitaji; yanalinada maslahi ya wachache na utafiti wenu haupo kusaidia watanzania
MM/Invisible/All find the report na iweke hadharani nawaminia sana kwa manufa ya taifa
Asante mkuu kwa kuendelea kuleta confirmation za habari tunazoendele kusikia, ila naomba niulize Redet matokeo yake ni yapi maana hiyo ya 44% - 41% tuliambiwa ni ya Synovate.
Ila ni kweli tungeweza kupata full report ingekuwa vyema.
Wanajamvini: