Magix Enga
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 610
- 449
Wamejazana hadi mitaani asubuhi mapema hapa Fedha unawapata na vibakuli kila konaKumbe hujui watanzania wamejaa hapo kibera hata kushinda waganda. Waganda wakija huku ni watu wa kuchapa kazi lakini watanzania kazi yenyu ni kujaza uchafu Nairobi kwa kuomba kila kukicha kwa barabara, huku mkiwa na watoto. Yani wakenya tumechoka na hawa watu wenyu wavivu wasio fanya kazi. Tafadhali mje mwachukue wanachafua mazingira.