Utafiti: Wakenya waongoza Afrika kwa kuwa na mawazo chanya - positive minded

Wamejazana hadi mitaani asubuhi mapema hapa Fedha unawapata na vibakuli kila kona
 
Cha kushangaza ni kwamba hizo mitaa ulizotaja wale omba omba wenu wamevamia kama nzige na bakuli mikononi na nyusi zenye huruma
Magufuli awache kuexport watu wake uku.Wamekuwa nuisance sasa.Naskia wameinvade hadi uko mashinanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…