Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki mtani,hebu niweke sawa ktk hiliNimegundua bila umakini katika kuandika, kuzoweana na watu, kusaidia watu basi jf si sehemu salama.
Hahahaaaa. Chunguza tu kukianza kuchafuka majukwaani Mtani ndio utajua kila tunalolifanya humu jf basi umakini ni muhimu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. 😂😂😂😂😂😂
Nimegundua bila umakini katika kuandika, kuzoweana na watu, kusaidia watu basi jf si sehemu salama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio sababu ukijifungia kule hutoki rafiki.Nimegundua likes tamu
Yaaani unaweza baki mdomo wazi aisee.Kweli kabisa ndo maana wakionana huko mtaani mbio kuanzisha uzi JF kama kaona maaajabu ya 7 ya dunia
Kabisa mdogo wangu zidi kuwa hivyo mwaya. Sababu wapo wengine nia zao ni kuchafua wengine tu.Umakini ni kitu muhimu sana nazingatia...sio wote wana nia njema humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani unaweza baki mdomo wazi aisee.
Unajuiliza kwani wanawake wajf tunapaswa tuweje? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]