Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Hahahaaaa. Wabadilike kwa kweli.

Sisi ndio hao hao tunaogombania nao daladala na kupita madirishani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol

Nimecheka kwa nilichokiandika sababu sijui kama na Me wa jf wanagombaniaga usafiri. [emoji85][emoji85][emoji85]
Dah...nakujuza....kama hujui...ME wote JF Wana ndiga si za kitoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimegundua Siku hizi Shilingi Inaikimbiza mpaka J.f yetu,Tumuombee tu hakuna namna!
 
Back
Top Bottom