Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Hahaaaa saw a mzee was hekalu Na helkoptaBasi mnizoee hata yule Karim ni mtani wangu
Hii ni Mikwara tu ya Andunje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa saw a mzee was hekalu Na helkoptaBasi mnizoee hata yule Karim ni mtani wangu
Hii ni Mikwara tu ya Andunje
HahahahaNimegundua kuwa kila mtu hapa Jf anamaisha mazur,ofic nzur na kila kitu kizur kwa kuandka...lkn ukikutanao face to face balaaaaaa tupu!
Hahaha!!..Jf bwanaNa ww unaomekana unasumbuliwa na njaa kali + utaiamlo fanya hima uje Bunju kwenye hekalu langu upige lunch na dinner kisha nakurudisha kibandani kwako kwa helikopta
Hahahaaa!! Mie siko nae mama.
Hahahaaaa. Ila mmecheka lolHahahaha hatarii hapo unakua umempatia saana kudadeeki wanataka wote tuwe wazuri ubaya uende kwa nani sasa em tusichoshane
Nakusaka kama rupia. Ebu pita kule bustanini kwanza[emoji258]Hahahaaa!! Mie siko nae mama.
Wapi tena dear?Nakusaka kama rupia. Ebu pita kule bustanini kwanza[emoji258]
Humu [emoji395] dWapi tena dear?
Mbona sijaona kitu?Humu [emoji395] d
Looooh ndio ule ujinga kuwa kureply hazifiki.. Asante kwa taarifa.Mbona sijaona kitu?
Tuma upya kwa kuanza new chat
Hapana ni mimi nilifuta chats zote za awali na kuzuia any further replys ndio maana hazifiki.Looooh ndio ule ujinga kuwa kureply hazifiki.. Asante kwa taarifa.
Hahahahhha mi6 wangu huyoo[emoji16]Hapana ni mimi nilifuta chats zote za awali na kuzuia any further replys ndio maana hazifiki.
Hivyo ili zifike ni lazima uanzishe new chat.
Alaa kumbe wa kiumeni n Yanga fc,wa upande wa pili watakuwa ni simba fc.wale wa pili ni pilipili kweli kweli.Mimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
Sasa umejificha/umefichwa na nani?Hahahaaa!! Mie siko nae mama.
Teh teh teh[emoji23][emoji23] nimecheka sana nilivoiona miwani yenyeweModerator endeleeni kumpga ban huyu lofa huwa anapost pumba tu na limiwani lake km fundi mchomelea vyuma
Mbona nipo mama, wewe ndio umeadimika.Sasa umejificha/umefichwa na nani?
Wewe Je?[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Nilichogundua Humu Ndani Watu Wanakulana Sana Kama Kuku
Hata Kutongoza SijuiWewe Je?[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]