Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Hahaha wuuii huyo ametisha wallah picha ya kuamka ya nini?
Nmecheka wallah kwan hajui kuwa unaeza amka ukaji makeup na kumtumia mbona inawezekana tu.

Kuonyeshana sura mbaya za asubuh ya kazi gani na hivi wengine tumefanana na baba zetu basi looh
Ikabidi nimuulize umeniota usiku.
Kukaushana uzazi kisa nini....hebuuuu!!!!
Yaani kuna wanaume humu Jf wako kimya na hawaonekani kuchat kabisa.
Ila Pm huko ndo wasumbufu kuliko tarajali yako
 
Ikabidi nimuulize umeniota usiku.
Kukaushana uzazi kisa nini....hebuuuu!!!!
Yaani kuna wanaume humu Jf wako kimya na hawaonekani kuchat kabisa.
Ila Pm huko ndo wasumbufu kuliko tarajali yako
Hahahaha yaani umeneena dear ni wa hivo kweli na unashangaa wanaochat sana wanaweza wasiwe wasumbuf kama hao walio kimya. Wanaume wa humu wana matarajio makuubwa sana na wanawake wa Jf hawajui ndo walewale wa kitaani uko
 
Yaani hapa ndipo ninapochoka mie.
Yaani wanaume wa humu Jf wanataka kutuaminisha kuwa wao si sawa na wale wanaume wa mtaani.
Yaani wao tuwaone classic.
Mtu anaiweka Id yake ki-classic kumbe akiwa mtaano hana tofauti na mvuta bhangi
 
Na ww unaomekana unasumbuliwa na njaa kali fanya hima ije Bunju kwenye hekalu langu upige lunch na dinner kisha nakurudisha kibandani kwako kwa helikopta
Mkuu una tatizo kubwa sana. Humu kuna mabilionea Na matajili kibao ila huwez kuta wanajishaua kama we.
Una stress sana mkuu. Jichanganye Na watu
 
Yaani hapa ndipo ninapochoka mie.
Yaani wanaume wa humu Jf wanataka kutuaminisha kuwa wao si sawa na wale wanaume wa mtaani.
Yaani wao tuwaone classic.
Mtu anaiweka Id yake ki-classic kumbe akiwa mtaano hana tofauti na mvuta bhangi
[emoji23] [emoji23] [emoji108] leo naona umewaamkia habari wanayo huko waliko.
Lakini hawakomi hawa viumne utashangaa hizi comments zitakuja jibiwa huko pm
 
Nimegundua jamii imepotoka kupita kiasi, mambo ya kipuuzi yanashabikiwa na kuchangiwa na watu wengi zaidi tena memba unaowadhania kwamba wanauwelewa, kuliko masuala yenye tija kwa jamii.
 
Mkuu una tatizo kubwa sana. Humu kuna mabilionea Na matajili kibao ila huwez kuta wanajishaua kama we.
Una stress sana mkuu. Jichanganye Na watu
Siku ukiosha Range Rover yangu kisha nikijitambulisa kwako di utaelewa nina stress au
Sawa bwana mdogo shiba kwanza vitumbua
 
Back
Top Bottom