Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ikabidi nimuulize umeniota usiku.Hahaha wuuii huyo ametisha wallah picha ya kuamka ya nini?
Nmecheka wallah kwan hajui kuwa unaeza amka ukaji makeup na kumtumia mbona inawezekana tu.
Kuonyeshana sura mbaya za asubuh ya kazi gani na hivi wengine tumefanana na baba zetu basi looh
Kukaushana uzazi kisa nini....hebuuuu!!!!
Yaani kuna wanaume humu Jf wako kimya na hawaonekani kuchat kabisa.
Ila Pm huko ndo wasumbufu kuliko tarajali yako