Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Napata picha wanavyohadithiana wakishamtindua demu mmoja. Basi mwenyewe bidada ukija huku unajisifu we mzuri ndo maana unatongozwa sana kumbe watu wamepeana mchongo wakutafune.
Afu ujue hiyo haipo kwa wanaume tu, hata wanawake.
Kuna mdau mmoja alianzisha mada ya kumsifia flani kuwa anapesa na anachunika.
Basi zilitambaa pm kwa demu huyo ili awatajie huyo jamaa ili akachunwe.

Humu Jf, kuna mambo sana
 
Ukishampa namba ataomba picha then ataomba meeting
Asa hapo kwenye meeting inategemea.
Akiona una sura ya baba ujue hakuna meeting wala kikao.
Ila mtakutana gesti tu akakubandue.

Ila akiona una sura ya mama na shape, atakutumia mpaka nauli ya kwenda mkoa alipo ili ukale nae bata.
Asa dawa ni kutuma sura ya mtu mwingine, akituma nauli....unapiga bonge la mute!!!
Unampa na block na hawezi kuja kukuanzishia mada humu ila atakachofanya ni kuja na fekero la kuchamba akina dada wote humu.
 
Mimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
MEGUNDUA MSIMULIZI HADITHI ZA UBUYU (WA ILIYOKUA JF YA ZAMANI) FLANI WA KIKE KATEKWA NA WASIOJULIKANA
WANAOMKUMBUKA WATAMTAJA
 
Asa hapo kwenye meeting inategemea.
Akiona una sura ya baba ujue hakuna meeting wala kikao.
Ila mtakutana gesti tu akakubandue.

Ila akiona una sura ya mama na shape, atakutumia mpaka nauli ya kwenda mkoa alipo ili ukale nae bata.
Asa dawa ni kutuma sura ya mtu mwingine, akituma nauli....unapiga bonge la mute!!!
Unampa na block na hawezi kuja kukuanzishia mada humu ila atakachofanya ni kuja na fekero la kuchamba akina dada wote humu.
😀😀😀😀😀😀
 
Hahahaha hatarii hapo unakua umempatia saana kudadeeki wanataka wote tuwe wazuri ubaya uende kwa nani sasa em tusichoshane
 
Hahahaha hatarii hapo unakua umempatia saana kudadeeki wanataka wote tuwe wazuri ubaya uende kwa nani sasa em tusichoshane
Nashangaa.
Wanataka wote tuwe wasindikikizaji.

Kuna mmoja alinichosha sana....aliniambia eti anaomba picha yangu nikiwa nimetoka kuamka.
Afu humu kuna wanaume kama wachawi.
Anataka alambe tongotongo zangu au.
Waambie makeup zipo....hahahhaha
Jamaniiii....
 
Hahaha wuuii huyo ametisha wallah picha ya kuamka ya nini?
Nmecheka wallah kwan hajui kuwa unaeza amka ukaji makeup na kumtumia mbona inawezekana tu.

Kuonyeshana sura mbaya za asubuh ya kazi gani na hivi wengine tumefanana na baba zetu basi looh
 
Back
Top Bottom