maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,874
Yaani huwa nashindwa kuwaelewa rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa hivyo rafiki.
Ila nimecheka sana ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani huwa nashindwa kuwaelewa rafiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa hivyo rafiki.
Ila nimecheka sana ujue.
Afu ujue hiyo haipo kwa wanaume tu, hata wanawake.Napata picha wanavyohadithiana wakishamtindua demu mmoja. Basi mwenyewe bidada ukija huku unajisifu we mzuri ndo maana unatongozwa sana kumbe watu wamepeana mchongo wakutafune.
Ukishampa namba ataomba picha then ataomba meetingNdio.
Au anaanza na "mie napenda post zako kule, nipe namba tuchat"
Hawa viumbe washenzi sana
Na wanaume ni washenzi mno wanapenda sana hizi tabiaNapata picha wanavyohadithiana wakishamtindua demu mmoja. Basi mwenyewe bidada ukija huku unajisifu we mzuri ndo maana unatongozwa sana kumbe watu wamepeana mchongo wakutafune.
[emoji23] [emoji23] wuuiii kumbe na wadada piaAfu ujue hiyo haipo kwa wanaume tu, hata wanawake.
Kuna mdau mmoja alianzisha mada ya kumsifia flani kuwa anapesa na anachunika.
Basi zilitambaa pm kwa demu huyo ili awatajie huyo jamaa ili akachunwe.
Humu Jf, kuna mambo sana
Asa hapo kwenye meeting inategemea.Ukishampa namba ataomba picha then ataomba meeting
Humu kuna mijambazi ya kike humu[emoji23] [emoji23] wuuiii kumbe na wadada pia
MEGUNDUA MSIMULIZI HADITHI ZA UBUYU (WA ILIYOKUA JF YA ZAMANI) FLANI WA KIKE KATEKWA NA WASIOJULIKANAMimi nimegundua sisi wakiumeni tunaongoza kwa kuomba kuwekewa picha kuliko wale wenzetu wa upande wa pili,wewe Je?
😀😀😀😀😀😀Asa hapo kwenye meeting inategemea.
Akiona una sura ya baba ujue hakuna meeting wala kikao.
Ila mtakutana gesti tu akakubandue.
Ila akiona una sura ya mama na shape, atakutumia mpaka nauli ya kwenda mkoa alipo ili ukale nae bata.
Asa dawa ni kutuma sura ya mtu mwingine, akituma nauli....unapiga bonge la mute!!!
Unampa na block na hawezi kuja kukuanzishia mada humu ila atakachofanya ni kuja na fekero la kuchamba akina dada wote humu.
Hahahaha hatarii hapo unakua umempatia saana kudadeeki wanataka wote tuwe wazuri ubaya uende kwa nani sasa em tusichoshaneAsa hapo kwenye meeting inategemea.
Akiona una sura ya baba ujue hakuna meeting wala kikao.
Ila mtakutana gesti tu akakubandue.
Ila akiona una sura ya mama na shape, atakutumia mpaka nauli ya kwenda mkoa alipo ili ukale nae bata.
Asa dawa ni kutuma sura ya mtu mwingine, akituma nauli....unapiga bonge la mute!!!
Unampa na block na hawezi kuja kukuanzishia mada humu ila atakachofanya ni kuja na fekero la kuchamba akina dada wote humu.
Na mwisho wa picha stering wa kiume anadanja......😀😀😀😀😀😀
Ndo saafi wanagawana umaskiniHumu kuna mijambazi ya kike humu
Kama kuna kaukweli flani hivi ndani yake😎Na mwisho wa picha stering wa kiume anadanja......
Nashangaa.Hahahaha hatarii hapo unakua umempatia saana kudadeeki wanataka wote tuwe wazuri ubaya uende kwa nani sasa em tusichoshane
Ndio....hakna namna.Ndo saafi wanagawana umaskini
Yap, na huu ndio ukweli ambao wanaune wa humu huwa hawataki kuusikia kabisa.Kama kuna kaukweli flani hivi ndani yake😎
Mi nimependa ulivyotutusi,Ndio.
Au anaanza na "mie napenda post zako kule, nipe namba tuchat"
Hawa viumbe washenzi sana
Hahaha wuuii huyo ametisha wallah picha ya kuamka ya nini?Nashangaa.
Wanataka wote tuwe wasindikikizaji.
Kuna mmoja alinichosha sana....aliniambia eti anaomba picha yangu nikiwa nimetoka kuamka.
Afu humu kuna wanaume kama wachawi.
Anataka alambe tongotongo zangu au.
Waambie makeup zipo....hahahhaha
Jamaniiii....
Sitaki.Mi nimependa ulivyotutusi,
Njoo pm unitusi zaidi.