Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Nimegundua sisi wenye makalio makubwa tunapata tabu sana humu Jf.
Pm zimekuwa nyingi sana halafu wanaokuja sasa hawana pesa.
20180905_165132.jpg

Bora tupige nyeto tu......
 
Nmegundua kuwa kuna wanaume wakiona comment ya mdada hapa jukwaani hawaridhiki wanakimbilia piemu sasa sijui wanataka anzisha nyuzi huko ili wapate comment za pekeao
 
Nimegundua Jf ni.kijiwe kizuri cha kuelimishana na kujua hulka za watu na ukiwa muongo hapa Jf fasta unanyooshwa kwa mifano halisia,pia wanamemba wanapenda sana picha inayofanania na tukio au uhalisia wa jambo ili uzi unoge..hongereni sana wana Jf kwa ujumla wenu.itifaki imezingatiwa.
 
Pia nimegundua walio wengi zile Locations walizoziandika si mahali ambapo wapo kwa sasa.

Waeza jua mtu jupo Majuu kumbe tunapanda naye kifodi kila kukicha na vyuma vimekaza ka sie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukorofi huo wanyumbani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimegundua jf ya sasa tofauti na ya zamani maana walio wengi wana mambo ya kifesibuku sana.
 
Back
Top Bottom