Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Nimegundua binadamu ni binadamu umjue usimjue lazima ana feeling ya kuwa belonging somewhere or to some people. Ndiyo maana akiharibu mambo kwa id fulani ataiacha na kuja na id nyingine. Ili aendelee kuwa na same level of belonging....
At last everyone has reputation to protect humu am sure even the JF gods ( mods) have theirs
 
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kweli kabisa ndo maana wakionana huko mtaani mbio kuanzisha uzi JF kama kaona maaajabu ya 7 ya dunia
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…