Na wewe weka tuone ulivyo jaaliwa au vipi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiooo Mtani [emoji85]Hahaha, mtani bana
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mi nasubiria ya kwako tu akyamungu hajarHahaaaaa. Si ili muunogeshe sasa huo utafiti.
Hahahaaaa. Duuuh.Na wewe weka tuone ulivyo jaaliwa au vipi
Hahaha ,mtani mbn[emoji85] kulikoniNdiooo Mtani [emoji85]
Wekeni na sie tupate ako kaujumbe. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usifanye hivyoHahahaaaa. Duuuh.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Yake itakua funga kaziMi nasubiria ya kwako tu akyamungu hajar
Hahahaaaa. Mie bado mpaka nifikishe miaka 10 jf. Teh teh.Mi nasubiria ya kwako tu akyamungu hajar
Nami najaribu kung"amua ni ujumbe gani unatumwa,mtaniMmh. Mtaniii.
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101] naskiza huo ujumbe. Teh teh
Hapana uipunguze mingi sana hiyo... Miaka ni namba tu bwanaHahahaaaa. Mie bado mpaka nifikishe miaka 10 jf. Teh teh.
Ndio kwanza nakaribia 05. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natumai tutakua hai,tuone [emoji23]Hahahaaaa. Mie bado mpaka nifikishe miaka 10 jf. Teh teh.
Ndio kwanza nakaribia 05. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi yaishe Mtani.Hahaha ,mtani mbn[emoji85] kulikoni
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Umeona eee.... [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Yake itakua funga kazi
[emoji767]101-03-821.M|T|C
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio siri Mtani umefanya nicheke wa sauti. Lol.Yake itakua funga kazi
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Hahahahahahahahahahahahahahaahahahahahaaaaaa.Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza avatar yake tu ,inaleta ujumbe Fulani hivi ,au hujaona mpwaUmeona eee.... [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Basi ng'amua na ukishang'amua usisahau kuja kutung'amulia ili wote tufaidike kwa kung'amua kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nami najaribu kung"amua ni ujumbe gani unatumwa,mtani
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Mmmh mtani yanaishaje ishaje sasa ,haya bana km umesema wewe mm [emoji87] ,kwa heshima yako mtani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi yaishe Mtani.
Mtani,mtani ujue mtani sio vzr kufanya utaniBasi ng'amua na ukishang'amua usisahau kuja kutung'amulia ili wote tufaidike kwa kung'amua kwako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]