Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

Hapana uipunguze mingi sana hiyo... Miaka ni namba tu bwana
Hahahaaa. Ikiwa mitano inakaribia na nimeiona michache sasa kumi kwa nini isifike na wewe Avatar. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

12 March 2024 siku ya Jumanne. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi sawa, sina budi kungojea [emoji4]
 
Hahahahahahahahahahahahahahaahahahahahaaaaaa.

Ngoja nivute pumzi kwanza nitaendelea kucheka tena
Hahahaahaaaaaa. Vuta pumzi mdogo wangu kisha ucheke tu kwa kweli.

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa. Nawaona nawaona tu.

Hebu tuandikeni tulichogundua bana tuacheni habari za Hajar banaaaaaa.
Nilishaandika mie,, mtu atapost mkono... Kesho goti... Atakaa atapost nywele ... Akiona bado utakuta mgongo..
Humo moote anapita anatafuta ile sehemu pendwa akishaitupia.. Baada Ya hapo ndio atatuwekea sasa karibu ⅔ ya mwili bila sura [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Mi bado msimamo wangu ni kusubiria ya hajar [emoji56] [emoji56]
 
Wanaziba sura tu siku hz

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…