Utafiti wako umegundua nini hapa JF?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wale wa picha za kuchora,wazuriiii hawana hata kovu la ndui
Hahahaaaa. Wabadilike kwa kweli.

Sisi ndio hao hao tunaogombania nao daladala na kupita madirishani. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol

Nimecheka kwa nilichokiandika sababu sijui kama na Me wa jf wanagombaniaga usafiri. [emoji85][emoji85][emoji85]
 
Nimegundua kuwa member wa JF huwa wanatumia simu wakiwa sehemu tulivu(au wakiwa peke yao)

Maana sijawahi kumwona mtu akitumia Jf publically

Sent using Jamii Forums mobile app
Jf nafkiri ina watu maalum. Au watu wake ni wa kundi fulani hivi. Kwasababu hata mimi nimeona watu wawili tu wanaoperuzi jf. Lakini ukiingia humu tuko wengi. Pia nafkiri jf ina tabaka fulani la watu waliosoma mpka ngazi fulani ya elimu. Kuna baadhi ya mada au michango ya members unakuta WENGI wana share historian Fulani ya kielimu au matukio yanayo ambatana na hayo au uuwasilishaji wake wa mawazo unaonesha huyu amesoma. Pia kuna wengine wanajichetua mara nyingi lakini siku akichokozwa anakuwa ktk sense na ana respond kwa ngazi fulani ya elimu.
 
Nimekusoma..ila sasa kama wana elimu ndo tusionane hata kwenye harakati za kawaida mfano tukiwa kwenye mwendokasi,waiting spaces kama za benki hospitali na nyinginezo??

Hao watu uliwaonea wapi mkuu??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini usafiri hata masufuria ya wali wenye ukoko wanagombania pia,maisha haya
 
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka sana na naendelea kucheka hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pia nimegundua Me wa jf wanajua Ke wa jf wote tunatoka dunia ya peke yetu yaani tuna sura zetu na maumbo yetu ni ya peke yetu hatufanani na walioko nje ya jf. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You killed it wanasahau kuwa ndio wanawake sisi sisi wanaokutana nasi huko kitaa πŸ˜› πŸ˜›

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…