Utafiti: Wana JF na Avatar zao

Wewe kwa mujibu wa mtafiti wetu utakuwa mtoto wa kambo wa Muhammad Alli.

Hahahaaa kaazi kweli kweli.

Humu ndani huwa kuna imaginations za kuchekesha sana.

Wengine huwa wakisoma mwandiko wa mtu tu eti wanajua na umri wakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Ha ha ha !!! Afu akisema labda itokee tu anaweka pozi flani hivi.
Ha ha ngoja niende tena you tube nikamcheki sheikhe
Namkubali sana sheikh yule... hasa pale anapokuambia utapewa mizigo 60 lakini ukiwa na nguvu ya kuhudumia mizigo mia... hiyo mizigo 60 kazi inayo wallah
 
Hahahaaa kaazi kweli kweli.

Humu ndani huwa kuna imaginations za kuchekesha sana.

Wengine huwa wakisoma mwandiko wa mtu tu eti wanajua na umri wakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Hahahahaaa

Wewe zari limekuangukia zaidi. Maana inaelekea watu wengi wanakufahamu. Hawajui tumesoma wote VETA pale Chang'ombe mwaka 1979.
 
Hahahahaaa

Wewe zari limekuangukia zaidi. Maana inaelekea watu wengi wanakufahamu. Hawajui tumesoma wote VETA pale Chang'ombe mwaka 1979.

Tena wananifahamu kuliko ninavyojifahamu mwenyewe.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nafikiri kupitia maandishi utaweza kukisia tabia ya mtu kwa uhakika kuliko username au avatar.
Username na avatar zitasetiwa siku moja ila maandishi yatatolewa kila siku, mood ya siku ya kuseti avatar na username itapotea kidogo kidogo na uhalisia wako utahamia kwenye maandishi yako ya kila siku. Mfano attention seekers.
 
Nakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
Bila shaka nawe utakuwa mrembo sawa na avatar yako....natamani nione angalau picha yako halisi tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]
 
You are right... very right!
Nimekugongea like, kakague kama huamini.
 
Kwahiyo wewe ni "don care"??? Nauliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…