Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Naam sheikh...labda itokee tu.Hasa Sheikh Kipoozeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam sheikh...labda itokee tu.Hasa Sheikh Kipoozeo.
The bold mzima lakini?Nakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
Ha ha ha !!! Afu akisema labda itokee tu anaweka pozi flani hivi.Naam sheikh...labda itokee tu.
Wewe kwa mujibu wa mtafiti wetu utakuwa mtoto wa kambo wa Muhammad Alli.
Namkubali sana sheikh yule... hasa pale anapokuambia utapewa mizigo 60 lakini ukiwa na nguvu ya kuhudumia mizigo mia... hiyo mizigo 60 kazi inayo wallahHa ha ha !!! Afu akisema labda itokee tu anaweka pozi flani hivi.
Ha ha ngoja niende tena you tube nikamcheki sheikhe
HahahahaaaHahahaaa kaazi kweli kweli.
Humu ndani huwa kuna imaginations za kuchekesha sana.
Wengine huwa wakisoma mwandiko wa mtu tu eti wanajua na umri wake😀😀😀😀.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli babuSema HakyaMungu...
Na wewe ni kiatu tu utaishia kukanyagwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Ngoja nisubirie hiyo part 2 ya utafiti
Kwa mtindo huo yule jamaa namdabo mahari. Sipendagi ujinga kwenye maswala ya kuunganisha miili.[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli babu
Hahahahaaa
Wewe zari limekuangukia zaidi. Maana inaelekea watu wengi wanakufahamu. Hawajui tumesoma wote VETA pale Chang'ombe mwaka 1979.
Kisa avatar yako ina masikio kama ya sungura..?Hauko sahihi
Hii yako ni enzi zako ulipokuwa msichana...nimetabiri tu Madame [emoji12]Yangu je. Ukipatia nakupa mji
Bila shaka nawe utakuwa mrembo sawa na avatar yako....natamani nione angalau picha yako halisi tuNakubaliana na utafiti wako kwa 75%
Na nyongeza ID anayotumia mtu inaendana kwa kiasi kikubwa na maisha yake halisi au vile alivyo.
Nadhani hili suala la ID na Avatar lipo kisaikolojia zaidi.
You are right... very right!Nafikiri kupitia maandishi utaweza kukisia tabia ya mtu kwa uhakika kuliko username au avatar.
Username na avatar zitasetiwa siku moja ila maandishi yatatolewa kila siku, mood ya siku ya kuseti avatar na username itapotea kidogo kidogo na uhalisia wako utahamia kwenye maandishi yako ya kila siku. Mfano attention seekers.
He!!!!Na wewe ni kiatu tu utaishia kukanyagwa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kwahiyo wewe ni "don care"??? Nauliza tuNimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu.
Kiukweli avatar wanazopendelea kuweka zinafana sana na maisha yao halisi au vile walivyo nk. Au kwa lugha nyingine zinatoa preliminary background ya jinsi walivyo. Ukiona member kaweka avatar ya mrembo mkali, asee ni mrembo kweli si mchezo. Ukiona member kaweka picha la jamaa lina hasira, basi ujue yuko hivyo. Ukiona jamaa kaweka picha ya ya kiroho-mbaya ujue anakaribiana na sifa hiyo. Ukiona kaweka avatar ya kituko fulani hivi, naye ni kituko. Kadhalika na wenye avatar za ki hekima hekima, ni kweli kabisa wapo hivyo. Walioweka picha za wanyama, relatively wana maamuzi na matendo kama ya wanyama. Na wale wasioweka picha means they don't care, na kweli wenyewe wako laissez-faire tu.
Huu utafiti unatoa mwangaza mpya wa aina ya wana JF unaopanga ima kukutana nao au unapochat nao kuwajua japo kwa uchache tabia na mwonekano wao (imaginary). Awamu ya pili ya utafiti huu inaendelea...
NB: sitaanika members niliokutana nao wala "derived indicators" for privacy.