[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaona tu,tuombe uzima.Bila shaka nawe utakuwa mrembo sawa na avatar yako....natamani nione angalau picha yako halisi tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji85]
Kwa hiyo hivi sasa kawa mvulana?? We Nifah wewe...Mungu anakuona ujueHii yako ni enzi zako ulipokuwa msichana...nimetabiri tu Madame [emoji12]
You are right... very right!
Nimekugongea like, kakague kama huamini.
Uzima si huu tumepewa au unataka uzima wa milele???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaona tu,tuombe uzima.
Mi nimemwachia Mungu amtendee miujizaMuambikiza majipu ndio analeta ugumu wote huu, next weekend ntakutafuta
Kinachokuponza wewe ni kimombo. Unajua watu wana ile dhana kuwa watu wa zamani kwakuwa walikuwa karibu na wazungu basi kikristu hakiwapigi chenga... Hawaamini mtu aliyesoma vitabu vya kina Juma na Roza au Mr. and Mrs. Daudi wanaweza kutema madini ya malkia kama unavyoyatema wewe.Hahahaaa Komredi umenichekesha aisee.
Sasa kwa mfano mimi kupitia maandishi yangu baadhi ya watu humu huwa wanaapia eti mimi ni mzee.
Tena mzee wa rika la mama yangu mzazi.
Sasa hata sijui ni mambo ambayo huwa nayaandika yawafanyayo wadhani mimi ni mzee sawa na umri wa mama yangu.
Yaani imaginations za humu huwa zinachekesha sana.
Huo sidhani kama anautaka... maana uzima huo lazima kwanza a-rest in peace. Anavyoogopa kaburi kakudanganya nani ataupenda uzima huo?Uzima si huu tumepewa au unataka uzima wa milele???
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kinachokuponza wewe ni kimombo. Unajua watu wana ile dhana kuwa watu wa zamani kwakuwa walikuwa karibu na wazungu basi kikristu hakiwapigi chenga... Hawaamini mtu aliyesoma vitabu vya kina Juma na Roza au Mr. and Mrs. Daudi wanaweza kutema madini ya malkia kama unavyoyatema wewe.
Basi wanahitimisha kuwa wewe ni classmate wa Nyerere au Kambona...
Usiniulize nimejuaje komredi, na mimi nimefanya utafiti.[emoji12] [emoji12]Hahahaaaaa kweli kabisa aisee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo sidhani kama anautaka... maana uzima huo lazima kwanza a-rest in peace. Anavyoogopa kaburi kakudanganya nani ataupenda uzima huo?
95%Kwahiyo wewe ni "don care"??? Nauliza tu
Kikristu kigumu asee asikwambie mtu.We bhana wewe... mimi sizitaki mbichi hizi. Hebu tumbo niache nimbakizie Manenge...
Sisi wa Kayumba praimare tuliowasoma zaidi kina Juma na Roza, ndio maana unaona tulivyo mahiri kuongea kinyerere kuliko kikristu.
Hahahaaaa... kina wenyewe hiki kikabila. Kikiamua kukukataa kinakukataa tena kwa kukuumbua.Kikristu kigumu asee asikuombee mtu.
Ukishamwomba Mungu usisahau ni bikira Maria pekee aliyepata ujauzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu...Kweli kabisa, mfano mie napenda sana watoto na naumia sana kuona watoto wakinyanyaswa. Kuwa karibu na watoto ni sehemu ya maisha yangu na faraja kubwa kwangu. Namuomba Mungu anipe watoto kutoka kwa tumbo langu ili kukamilisha furaha yangu.