Utafiti: Wana JF na Avatar zao

Utafiti: Wana JF na Avatar zao

You are right... very right!
Nimekugongea like, kakague kama huamini.

Hahahaaa Komredi umenichekesha aisee.

Sasa kwa mfano mimi kupitia maandishi yangu baadhi ya watu humu huwa wanaapia eti mimi ni mzee.

Tena mzee wa rika la mama yangu mzazi.

Sasa hata sijui ni mambo ambayo huwa nayaandika yawafanyayo wadhani mimi ni mzee sawa na umri wa mama yangu.

Yaani imaginations za humu huwa zinachekesha sana.
 
Kweli kabisa, mfano mie napenda sana watoto na naumia sana kuona watoto wakinyanyaswa. Kuwa karibu na watoto ni sehemu ya maisha yangu na faraja kubwa kwangu. Namuomba Mungu anipe watoto kutoka kwa tumbo langu ili kukamilisha furaha yangu.
 
Kinachokuponza wewe ni kimombo. Unajua watu wana ile dhana kuwa watu wa zamani kwakuwa walikuwa karibu na wazungu basi kikristu hakiwapigi chenga... Hawaamini mtu aliyesoma vitabu vya kina Juma na Roza au Mr. and Mrs. Daudi wanaweza kutema madini ya malkia kama unavyoyatema wewe.

Basi wanahitimisha kuwa wewe ni classmate wa Nyerere au Kambona...
 
Hahahaaaaa kweli kabisa aisee!
 
Huo sidhani kama anautaka... maana uzima huo lazima kwanza a-rest in peace. Anavyoogopa kaburi kakudanganya nani ataupenda uzima huo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ili mbegu iote na kuzaa lazime ife kwanza
 
We bhana wewe... mimi sizitaki mbichi hizi. Hebu tumbo niache nimbakizie Manenge...

Sisi wa Kayumba praimare tuliowasoma zaidi kina Juma na Roza, ndio maana unaona tulivyo mahiri kuongea kinyerere kuliko kikristu.
Kikristu kigumu asee asikwambie mtu.
 
Labda kwa wengine inawezekana ikawa hivyo, ila kwangu avatar niliyoweka haiakisi uhalisia wangu hata kwa 0.0001%
 
Kweli kabisa, mfano mie napenda sana watoto na naumia sana kuona watoto wakinyanyaswa. Kuwa karibu na watoto ni sehemu ya maisha yangu na faraja kubwa kwangu. Namuomba Mungu anipe watoto kutoka kwa tumbo langu ili kukamilisha furaha yangu.
Ukishamwomba Mungu usisahau ni bikira Maria pekee aliyepata ujauzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu...

Nadhani ushanielewa... unaweza kunifuata PM ili tuanze mkakati wa kuweka mtoto kwenye tumbo lako
 
Back
Top Bottom