Utafiti;wana MMU na chitchat masikini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah hyu dogo cjui kma kaingia jando jmn kamenichekesha!!! AkA nani vile[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah hyu dogo cjui kma kaingia jando jmn kamenichekesha!!! AkA nani vile[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Muuza mitumba wa Boma [emoji23]

Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
 
Ndugu yangu, muoga wa jf.
Naomba utambue kuwa lengo la mtandao huu ni kuelimishana na kupata burudani ndio maana mtandao huu kuna makala nyingi ambazo hupendwa na watu tofauti kama makala au jukwaa la siasa, mahusiano, mapenzi na urafiki, urembo, biashara, matangazo madogo, n.k kila mwanachama humu ana haki ya kuchagua anapenda kushiriki kwenye jukwaa au makala la aina gani kwa sababu zake binafsi,
Hakuna mipaka wala kizuizi kinacho sema muda wa mwisho wa kushiriki katika makala/jukwaa mbali mbali katika mtandao huu,

Unaposema kuwa baadhi ya wanachama katika jukwaa ulizotaja kuwa ni maskini kwa sababu wanatumia muda wao mwingi kushiriki humu mtandaoni hakika unakosea unawezaje kumhukumu mtu / mwanachama pasipo kumfahamu vizuri sheria moja wapo ya jamii forums hairuhusu kumdhalilisha mwanachama mwenzio.

Na kingine cha kuongezea sio kila mwanachama wa jf wapo kama unavyo fikiri wengine wana kazi nzuri na wanashinda jf, wala usiishi kwa kukariri maisha badili mtazamo wako, na hata wao wakiwa masikini au matajiri.
je..?? ni kitu gani kinacho kufanya uumie zaidi,

Ndugu yangu mfano mzuri ni bilionea bill gates kila siku hakosi kupost wala ku tweet mtandaoni twitter, lakini bado ni bilionea, kina warren buffet, hiyo ni mifano tosha kujifunza kwako.

Ishi kwa akili na kwa maarifa wala usiishi kwa kukariri na kuiga maisha ya mwingine, jiamini, jithamini, jitambue.
 
Onilini [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nenda kasome kichwa panzi wewe
 
MBONA POVUU..NI UMASIKINI TUYU BILIGATI AWI ONILINI MUDA WOTE
 
nimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
Utafiti wa kufanywa na kichaa haujawah muacha mtu salama
 
MIMI SIKICHAA MWANAFUNZI WA UDISIM NAO NAFANYA LISECHI YANGU KUHUSU MASIKINI JEI FYU
UDSM haijawahi hakijawahi kuwa chuo kikuu cha wajinga wa aina yako. Ila kwakuwa umeandika UDISIM inawezekana uko sahihi... Mirembe ina matawi mengi sana siku hizi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…