Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi tumshukuru Mungu kwa kutuongezea wakulima.Hawa hata second selection hawapiti,cheki mwandiko wake kiwango hafifu
Washkaji zake Bashite... right?Hahahah unawaonea wakulima,hawa ni wale wapiga debe vituo vya daladala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah hyu dogo cjui kma kaingia jando jmn kamenichekesha!!! AkA nani vile[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Mkuu hiyo a.k.a uliyonipa nimeipenda MUUZA MITUMBA WA BOMA
mtaji umekata, biashara imeenda vibaya ndio maana najifariji huku mkuu kwa hiyo usishangae sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Apple iPhone 5s using JamiiForums Auto-reply Mobile app
Muuza mitumba wa Boma [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wallah hyu dogo cjui kma kaingia jando jmn kamenichekesha!!! AkA nani vile[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Aah umeanza kumuonea rais wa darWashkaji zake Bashite... right?
Mtoto wa mtukufu asiyejaribiwaAah umeanza kumuonea rais wa dar
MBONA POVUU..NI UMASIKINI TUYU BILIGATI AWI ONILINI MUDA WOTENdugu yangu, muoga wa jf.
Naomba utambue kuwa lengo la mtandao huu ni kuelimishana na kupata burudani ndio maana mtandao huu kuna makala nyingi ambazo hupendwa na watu tofauti kama makala au jukwaa la siasa, mahusiano, mapenzi na urafiki, urembo, biashara, matangazo madogo, n.k kila mwanachama humu ana haki ya kuchagua anapenda kushiriki kwenye jukwaa au makala la aina gani kwa sababu zake binafsi,
Hakuna mipaka wala kizuizi kinacho sema muda wa mwisho wa kushiriki katika makala/jukwaa mbali mbali katika mtandao huu,
Unaposema kuwa baadhi ya wanachama katika jukwaa ulizotaja kuwa ni maskini kwa sababu wanatumia muda wao mwingi kushiriki humu mtandaoni hakika unakosea unawezaje kumhukumu mtu / mwanachama pasipo kumfahamu vizuri sheria moja wapo ya jamii forums hairuhusu kumdhalilisha mwanachama mwenzio.
Na kingine cha kuongezea sio kila mwanachama wa jf wapo kama unavyo fikiri wengine wana kazi nzuri na wanashinda jf, wala usiishi kwa kukariri maisha badili mtazamo wako, na hata wao wakiwa masikini au matajiri.
je..?? ni kitu gani kinacho kufanya uumie zaidi,
Ndugu yangu mfano mzuri ni bilionea bill gates kila siku hakosi kupost wala ku tweet mtandaoni twitter, lakini bado ni bilionea, kina warren buffet, hiyo ni mifano tosha kujifunza kwako.
Ishi kwa akili na kwa maarifa wala usiishi kwa kukariri na kuiga maisha ya mwingine, jiamini, jithamini, jitambue.
MUJINGA WEWEOnilini [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nenda kasome kichwa panzi wewe
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mjinga na mujinga.MUJINGA WEWE
IRA SI UMEEREWA TYU MUKUUKuna tofauti kubwa sana kati ya mjinga na mujinga.
Utafiti wa kufanywa na kichaa haujawah muacha mtu salamanimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
MIMI SIKICHAA MWANAFUNZI WA UDISIM NAO NAFANYA LISECHI YANGU KUHUSU MASIKINI JEI FYUUtafiti wa kufanywa na kichaa haujawah muacha mtu salama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
UDSM haijawahi hakijawahi kuwa chuo kikuu cha wajinga wa aina yako. Ila kwakuwa umeandika UDISIM inawezekana uko sahihi... Mirembe ina matawi mengi sana siku hiziMIMI SIKICHAA MWANAFUNZI WA UDISIM NAO NAFANYA LISECHI YANGU KUHUSU MASIKINI JEI FYU