Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 734 Apr 5, 2024 #41 Tafuta mwenye Imani na sio mwenye dini.
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Apr 5, 2024 #42 Aiseee
Moment of silent JF-Expert Member Joined Feb 19, 2021 Posts 855 Reaction score 1,483 Apr 5, 2024 #43 Kweli kabisa
Trinity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2017 Posts 1,828 Reaction score 3,508 Apr 5, 2024 #44 Kuna mabinti kibao naowaona kanisani ninaposali age 12-25 sasa najiuliza huo uhuni walifanyia wakiwa tumboni mwa mama zao.!?
Kuna mabinti kibao naowaona kanisani ninaposali age 12-25 sasa najiuliza huo uhuni walifanyia wakiwa tumboni mwa mama zao.!?
tpaul JF-Expert Member Joined Feb 3, 2008 Posts 24,225 Reaction score 22,632 Apr 5, 2024 Thread starter #45 Trinity said: Kuna mabinti kibao naowaona kanisani ninaposali age 12-25 sasa najiuliza huo uhuni walifanyia wakiwa tumboni mwa mama zao.!? Click to expand... Hawa wanawake waliorundikana kwenye makanisa ya akina Mwamposa wakitafuta wachumba ni wa kuwaogopa kama ukoma.
Trinity said: Kuna mabinti kibao naowaona kanisani ninaposali age 12-25 sasa najiuliza huo uhuni walifanyia wakiwa tumboni mwa mama zao.!? Click to expand... Hawa wanawake waliorundikana kwenye makanisa ya akina Mwamposa wakitafuta wachumba ni wa kuwaogopa kama ukoma.