Kukosa kaziUtafiti wangu binafsi katika swala hili
Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele🚶🏼♂️ kumfata mtu ibox📩 kwa mawasiliano📞 ya kimauhusiano ya kimapenzi??
Asa asa wanaume!!
Unafikri ni kwasababu gani?
🙏🙏🙏 Shukurani mkuu kwa nondo hiyoKwasababu imezoeleka kuwa mwanaume ndio humuanza mwanamke. Na tumejijengea akilini kwa mazoea kuwa mwanamke akikutongoza ni malaya (japo sio kweli).
Kwahiyo ni issue ya mazoea tu wala haina science yoyote.
Jamaa Emmanuel Kasomi ,"asa asa" ina maana gani!!?Utafiti wangu binafsi katika swala hili
Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele[emoji2215] kumfata mtu ibox[emoji395] kwa mawasiliano[emoji338] ya kimauhusiano ya kimapenzi??
Asa asa wanaume!!
Unafikri ni kwasababu gani?
Ukabilakabila umeniingia hatari ngoja niweke hasa hasaJamaa Emmanuel Kasomi ,"asa asa" ina maana gani!!?
Kumbe siku hizi inaitwa "MBUSUSU"Wanaume tuna access kubwa sana mitandao na ujanja ujanja hata kama hujaenda shule tofauti na wanawake
Ww unazani kumuimbisha mwanamke mpaka akupe mbususu sio mchezo bigwa