Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Endelea kugundua........maana hakuna namna nyingine...........
kwa hiyo na huyo preta ushamtafuna mkuu,mbona namuona kama anajifanya matawi flani hivi,kumbe ni wa buku tu?
We muulize what happened lasT sato at viva lodge tegeta with a man called doc rweye....ahahahah..
#jfwomenarecheap
Aiseee.......unajua kuona kweli.......unatumia darubini ya VCT nini..........
Sio kila mwanamke unaemuona humu ni mwanamke, wengine sie ni wanaume tumeona kabisa ila humu ni kina evelyn.
Katika Kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :
1.Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili kujifariji/kufarijiwa ?
2.Ke ndo wanaoongoza kwa kutenda wenza wao hivyo wako wengi humu ndani ili kujifunza mbinu mpya za kuendelea kuwaliza na kuwaangaisha jamaa zao?
3.Ke ndo wanaojua zaidi kupenda ndio maana wako zaidi humu ili kujifunza zaidi na kajiimarisha ktk nyanja husika ?
4.Ke ndio wenye experience zaidi na suala la mahusiano na mapenzi kwahiyo wako hapa ku share mawazo na wale wanaokutana na changamoto mbalimbali ktk mahusiano yao ?
5.Au wako mawindoni?
Mm sielew..... .....
Ndio maana kuna siku mdada flani hiv alinitupia namba yake kwa PM, sasa ilipofika mida ya saa 4 usiku nikasema ngoja nipige nae story... Cha kushangaza kila nikipiga linapokea dume,nikamwambia nina shida na mwenye simu, jamaa linekazania "mbona hii simu ni yangu",.. Nikaona isiwe tabu nikakata na namba yake nikaifutilia mbali.... Mpaka leo huyo dada nikiona id yake tu nashutuka!
huo ni utafiti au maswali...?!!
btw jf ni moja,aliye jukwaa la siasa ndiye aliye MMU isipokuwa tumetofautiana interests, siku hizi mada za kitoto humu nyingi sana sasa ni ngumu kwa ME kuacha vitu vya maana aje ku-participate kwenye vitopic vya ajabu.
Dada Preta umewafanya nn hao vijana? Au kuna kitu umewanyima?
Gazeti linaweza kuwa na heading "Freeman Mbowe Abaka" alafu ukiingia ndani unakuta imeandikwa kabaka balale.... Hiyo ni heading tu mbinu ktk uandishi ,....
Ninaposema wako wengi namaanisha idadi ya wachangiaji ktk jukwaa,siku nyingine uwe unatumia akili kufikiri na si viungo vingine....
Unaposema mada ya kitoto huku nawe umechangia tena mbaya zaidi umechangia utumbo basi ww ndio mtoto kuliko.
we mgumu sana kuelewa.
Namkosaje tena wakati ninae.......au ana mpango wa kuondoka........?........
Maana nisije kuwa nimekalia kuti kavu..........
Katika Kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :
1.Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili kujifariji/kufarijiwa ?
2.Ke ndo wanaoongoza kwa kutenda wenza wao hivyo wako wengi humu ndani ili kujifunza mbinu mpya za kuendelea kuwaliza na kuwaangaisha jamaa zao?
3.Ke ndo wanaojua zaidi kupenda ndio maana wako zaidi humu ili kujifunza zaidi na kajiimarisha ktk nyanja husika ?
4.Ke ndio wenye experience zaidi na suala la mahusiano na mapenzi kwahiyo wako hapa ku share mawazo na wale wanaokutana na changamoto mbalimbali ktk mahusiano yao ?
5.Au wako mawindoni?
Mm sielew..... .....
Namba tano upo sawa kabisa mkuu mtoa mada
Endelea kugundua........maana hakuna namna nyingine...........
Huu utafiti ni wa kupuuzwa!!