Utafiti wangu kuhusu hili Jukwaa

Utafiti wangu kuhusu hili Jukwaa

mtaiaoma namba mwanamke mwanamke unafanya me hakuelewi kila siku style mpya
 
KE bhana kila k2 KE,wakila KE,wakiche KE,wakinuna KE
Kila k2 KE,wakifanya utafiki KE.
Nyie KE jiangalieni mnaweza jiona mnafanya KE ke ke ke kumbe mwafanyiwa utafiki.
KEEEEEeeee
 
Sio kila mwanamke unaemuona humu ni mwanamke, wengine sie ni wanaume tumeona kabisa ila humu ni kina evelyn.

Ndio maana kuna siku mdada flani hiv alinitupia namba yake kwa PM, sasa ilipofika mida ya saa 4 usiku nikasema ngoja nipige nae story... Cha kushangaza kila nikipiga linapokea dume,nikamwambia nina shida na mwenye simu, jamaa linekazania "mbona hii simu ni yangu",.. Nikaona isiwe tabu nikakata na namba yake nikaifutilia mbali.... Mpaka leo huyo dada nikiona id yake tu nashutuka!
 
Katika Kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :

1.Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili kujifariji/kufarijiwa ?

2.Ke ndo wanaoongoza kwa kutenda wenza wao hivyo wako wengi humu ndani ili kujifunza mbinu mpya za kuendelea kuwaliza na kuwaangaisha jamaa zao?

3.Ke ndo wanaojua zaidi kupenda ndio maana wako zaidi humu ili kujifunza zaidi na kajiimarisha ktk nyanja husika ?

4.Ke ndio wenye experience zaidi na suala la mahusiano na mapenzi kwahiyo wako hapa ku share mawazo na wale wanaokutana na changamoto mbalimbali ktk mahusiano yao ?

5.Au wako mawindoni?

Mm sielew..... .....

Endelea na huo utafiti wako ila jua Me hahaaaa
 
huo ni utafiti au maswali...?!!

btw jf ni moja,aliye jukwaa la siasa ndiye aliye MMU isipokuwa tumetofautiana interests, siku hizi mada za kitoto humu nyingi sana sasa ni ngumu kwa ME kuacha vitu vya maana aje ku-participate kwenye vitopic vya ajabu.
 
Ndio maana kuna siku mdada flani hiv alinitupia namba yake kwa PM, sasa ilipofika mida ya saa 4 usiku nikasema ngoja nipige nae story... Cha kushangaza kila nikipiga linapokea dume,nikamwambia nina shida na mwenye simu, jamaa linekazania "mbona hii simu ni yangu",.. Nikaona isiwe tabu nikakata na namba yake nikaifutilia mbali.... Mpaka leo huyo dada nikiona id yake tu nashutuka!

Ha ha ha et I una shida na mwenye Simu lol pole
 
bhebhe nang'o!angalau strec za UKAWA,simba na chelsea namalzia uku,idumu jf...naam milele na milele amen.
 
huo ni utafiti au maswali...?!!

btw jf ni moja,aliye jukwaa la siasa ndiye aliye MMU isipokuwa tumetofautiana interests, siku hizi mada za kitoto humu nyingi sana sasa ni ngumu kwa ME kuacha vitu vya maana aje ku-participate kwenye vitopic vya ajabu.

Kwel kabisa mkuu.
 
Gazeti linaweza kuwa na heading "Freeman Mbowe Abaka" alafu ukiingia ndani unakuta imeandikwa kabaka balale.... Hiyo ni heading tu mbinu ktk uandishi ,....
Ninaposema wako wengi namaanisha idadi ya wachangiaji ktk jukwaa,siku nyingine uwe unatumia akili kufikiri na si viungo vingine....
Unaposema mada ya kitoto huku nawe umechangia tena mbaya zaidi umechangia utumbo basi ww ndio mtoto kuliko.

we mgumu sana kuelewa.
 
Katika Kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :

1.Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili kujifariji/kufarijiwa ?

2.Ke ndo wanaoongoza kwa kutenda wenza wao hivyo wako wengi humu ndani ili kujifunza mbinu mpya za kuendelea kuwaliza na kuwaangaisha jamaa zao?

3.Ke ndo wanaojua zaidi kupenda ndio maana wako zaidi humu ili kujifunza zaidi na kajiimarisha ktk nyanja husika ?

4.Ke ndio wenye experience zaidi na suala la mahusiano na mapenzi kwahiyo wako hapa ku share mawazo na wale wanaokutana na changamoto mbalimbali ktk mahusiano yao ?

5.Au wako mawindoni?

Mm sielew..... .....

Namba tano upo sawa kabisa mkuu mtoa mada
 
Endelea kugundua........maana hakuna namna nyingine...........

kwanza ungemuuliza huo utafiti kaufanyia kwa muda gani na alikuwa anateremsha Kilimanjaro moja baridi mpaka ikampa hayo mawazo. Halafu Preta hivi Lara1 yuko wapi nimemmiss huyu dada na story zake.
 
Back
Top Bottom