Utafiti wangu kuhusu hili Jukwaa

Utafiti wangu kuhusu hili Jukwaa

humu ndani kuna wanapanic kinoma, hawawezi kureply mada husika, wamejaa dharau, kejeli na matusi sijui kwa nini
 
humu ndani kuna wanapanic kinoma, hawawezi kureply mada husika, wamejaa dharau, kejeli na matusi sijui kwa nini

Kuna wengine stress za majumbani kwao wanazimaliziaga jf mkuu
 
Nilijua nitakutana na majibu kumbe maswali....!
 
Ulpo tafiti ulimkuta na mkeo, aunt, mama, na dada zako? Je uliwauliz wakakwambiaje?
 
Labda wewe ndo unatuwinda jaman uwiiii

Hapana Agnes, ujue nimetembea sana humu JF kasoro jukwaa la wakubwa na dini, sasa numeshangaa kuona humu ndio mmerundikana sana kuliko kwingine
 
Katika kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya Jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :

1. Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili kujifariji/kufarijiwa ?

2. Ke ndo wanaoongoza kwa kutenda wenza wao hivyo wako wengi humu ndani ili kujifunza mbinu mpya za kuendelea kuwaliza na kuwaangaisha jamaa zao?

3. Ke ndo wanaojua zaidi kupenda ndio maana wako zaidi humu ili kujifunza zaidi na kajiimarisha ktk nyanja husika ?

4. Ke ndio wenye experience zaidi na suala la mahusiano na mapenzi kwahiyo wako hapa ku share mawazo na wale wanaokutana na changamoto mbalimbali ktk mahusiano yao ?

5. Au wako mawindoni?

Mimi sielewi.......
Haha kweli asee
 
Back
Top Bottom