Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 4,503
- 6,861
Naona umechanganya au mimi sijaelewa sababu Time travel na Multiverse ni vitu viwili tofauti.
Wewe unaongelea kipi hapo?
Wewe unaongelea kipi hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo kafafanua viziri sana ila kuna concept kdgo kamiscombulate multi verse ni matokeo ya time travel using of portals na wormholes ni njia moja wapo inayoelezewa kwenye quantum physics kwhy dogo kapiga mulemuleNaona umechanganya au mimi sijaelewa sababu Time travel na Multiverse ni vitu viwili tofauti.
Wewe unaongelea kipi hapo?
Upo wrong sana broh!!Unajua kwamba black hole hairefushi mtu???black hole within its horizon unaweza ona since the beginning of universe mpk mwisho coz ya time dilation inayosababishwa na gravity yake kalii na mtu huwez muona akiingia coz mpaka aingie completely itakuchukua zaidi ya miaka 70 mpka 100 kwa sababu pale alipo muda unaenda polpole zaidi ya ww kwahiyo upo totally wrong dogo ameenda vizuri sema hiyo njia ndo pekee ambayo inaweza ikawa proved na scientists kulko zoteVolti 10>19 billioni nahisi ukiitengeneza hiyo portal ukajaribu kuipitia itakudisintegratisha mazima. Uta vapour hapa duniani halafu tutaassume umeenda dunia nyingine kumbe ndio umekufa tayari.
Kuna shida kuweza kuvisogelea vitu kama hicho chako na black holes halafu ukabaki na integrity yako. Mfano black hole itakureeeeeeeeeeeeeeeeeefusha na utakufa instantly hata kama sisi tutakuona upo bado unairukia indifenetly