Nyamambara
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 407
- 330
Hana adabu huyo na aliolewa kwa bahati mbayaMfichie aibu mumeo basi rafiki
Ndoa ni ndoa tu na bora yeye aliyeolewa kwa bahati mbaya kuliko wale ambao hawayaolewa kabisa.Hana adabu huyo na aliolewa kwa bahati mbaya
Mbona wewe bado single mother hata bahati ya kuolewa kwa umeikosa. Punguza dharau kwa wanawake wenzako.Hana adabu huyo na aliolewa kwa bahati mbaya
Mume kama kimeo bora kumdhalilisha tu kwa maana anakuwa hana maana yoyoteMfichie aibu mumeo basi rafiki
Hajafunzwa na mama yakeHana adabu huyo na aliolewa kwa bahati mbaya
Asiyefunzwa na mama yake atafunzwa na RPC wa Dodoma mzee Muroto.Hajafunzwa na mama yake
Mbona na wewe unaonekana kama muhuni tu?Dogo badili avatar yako imekaa kihuni sana
Hafai kuwa mke huyoHajafunzwa na mama yake
Wahuni wananyoa viduku na kuvaa kata K. Yeye ni muhuni wa wapi? Chugga?Mbona na wewe unaonekana kama muhuni tu?
Siku atakayonidhalilisha mke wangu, ndio siku nitakayomfurumusha arudi kwao Tanga.Mume kama kimeo bora kumdhalilisha tu kwa maana anakuwa hana maana yoyote
Sogea tuishi sio ndoa mkuuNdoa ni ndoa tu na bora yeye aliyeolewa kwa bahati mbaya kuliko wale ambao hawayaolewa kabisa.
Anaweza kumuoa kisha akamrekebisha taratibu taratibu tuHafai kuwa mke huyo
Inawezekana hata wewe unaishi sogea tuishi alafu unaleta mashauzi humuSogea tuishi sio ndoa mkuu
Ni ngumu sana kukuta mke na muwe wote vimeo. Kati yao mmoja lazima tu atakuwa mstaarabu.Mume kama kimeo bora kumdhalilisha tu kwa maana anakuwa hana maana yoyote
Labda kafunzwa na babaye, utajuaje?Hajafunzwa na mama yake
Olewa wewe basiHafai kuwa mke huyo
Akianza kukudhalilisha na wewe utasemaje?Mume kama kimeo bora kumdhalilisha tu kwa maana anakuwa hana maana yoyote
Muroto ni askari mmoja safi sanaAsiyefunzwa na mama yake atafunzwa na RPC wa Dodoma mzee Muroto.
98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.