Utafiti wangu

Utafiti wangu

Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.

Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.

Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.
Ah wapi wanawake na hela huwezi watenganisha hapa mnajikaza ila dawa yenu ni pesa tu hata uwe mgumu vp watu watakula mzigo tu
 
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.

Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli tuambizane .

Kwangu sina mtu ambaye namtegemea humu hadi tuonekane wacheap hivyo mie imenikera sana sio siri.è
Tatizo mmezidi kuomba hela, yaani mnaomba walemavu wanasubiri!!!🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
 
Mimi kuna demu nimemkopesha 50,000 akaniahidi mwisho huu wa mwezi. Sioni dalili ya kulipwa. Juzi anaanza kuniambia kayamiss mautundu yangu ya kitandani. Najua lengo lake anipe mbususu nimsamehe hilo deni tuwe kama tumelipana
2ml narejesha mwakani tarehe ya mwaka mpya
 
Wanawake iwe huku au mitaani sema wanaume wahuku wamezidi sana wanaona wanawake ni malaya sana yaani mnatuona huku siso hatuna dira yaani tunategemea tu kutumiwa nakupewa hela nanyie.

Sina uwakika kama kila mtu hana kazi sijui aisee yaani kuna mtu kweli anawategemea kwa kila kitu kweli tuambizane .

Kwangu sina mtu ambaye namtegemea humu hadi tuonekane wacheap hivyo mie imenikera sana sio siri.è
Pole mumy pole. Kunywa maji kidogo hasira zishuke.
 
Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.

Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.

Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.

Ni kweli wanaume tunakosea ila unajua kwasababu gani?

Kwanza unakuta wanaume wengi kipindi tunatafuta maisha tupohoehae tukitaka tuu kuwambia wadada mambo? Tunakatwa jicho baya sana sasa wengi tukakutana na kauli tafuta ela hawa wapo tuu mwisho tukaamini pesa na magari ndo solution ya kuwanasa wanawake tena ndo maana wanaume tukipata ela hatufikilii mwanamke mmoja maana tuliangaishwa sana kipindi cha nyuma kwaiyo tukizipata tunataka kutumia izo izo kuwapata wengi tulipize ndo maana unaona mambo kama haya ni mengi mtaani huko

Mambo mengine ni wengi wenu kujidhalilisha na mizinga isiyoisha mwisho tunaawaona chuma ulete.
 
Hapana anataka mtu tu akupime
Kumbe na wewe ni omba omba aisee , nikajua unakemea tabia za wenzako kumbe na wewe ni wale wale , ndio kupimana kila siku iendayo kwa mungu,
Acheni hizo tabia la sivyo mtaendelea kuinekana Malaya tuu
 
Ni kweli wanaume tunakosea ila unajua kwasababu gani?

Kwanza unakuta wanaume wengi kipindi tunatafuta maisha tupohoehae tukitaka tuu kuwambia wadada mambo? Tunakatwa jicho baya sana sasa wengi tukakutana na kauli tafuta ela hawa wapo tuu mwisho tukaamini pesa na magari ndo solution ya kuwanasa wanawake tena ndo maana wanaume tukipata ela hatufikilii mwanamke mmoja maana tuliangaishwa sana kipindi cha nyuma kwaiyo tukizipata tunataka kutumia izo izo kuwapata wengi tulipize ndo maana unaona mambo kama haya ni mengi mtaani huko

Mambo mengine ni wengi wenu kujidhalilisha na mizinga isiyoisha mwisho tunaawaona chuma ulete.
Ni kweli, nakubali haya
 
Punguzeni vizinga dada zangu

Unajua kadiri unavyoomba omba pesa ndivyo mwanamume anakuchukulia kama malaya

Anakupelekea moto kisha anasepa

Unabaki kusema ameishia kukuchezea unasahau kumbe na wewe umechezea sana pesa zake
Sahii kabisa,
Wanahisi kupewa pesa yako Ni haki Yao
Wakati kiuhalisia ilipaswa kua hiari yako
Ukiwapa ukawasimanga, wanaona umewadharau
 
Nimekutana na matukio kama hayo matukio hayo mara nyingi yaani mtu anakuona kama hoe,Sina shida ndogondogo kiukweli wananikwaza na Huwa nawafurahisha wakati mwingine.
Mf. 1 anatoa simu yake umpe namba anaweka na Hela juu kwangu it's big NO.
Mf. 2 ninapokula lunch navuka barabara kwenda next side it's a walking distance Kuna siku Alphard ikasimama Kuna jamaa mmoja anaendesha mwingine yupo Siti ya abiria, yule wa Siti ya abiria akashuka ananiambia Mimi panda na mwingine anachangia yaani walinikwaza do they think am cheap to that extent.

Hiyo ni kdg Tu ninamengi ya kuhadithia.

Wengine sio cheap hivyo, baadhi yetu wapo kwa ajili yenu ambao mtaenda nao kwa pigo hizo.
It seems una huge ass..
 
Back
Top Bottom