Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Hajajaja humo nako ni specoal zote..wanamtafuta vvilivyoo mwokozi waooooHuu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi?
Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa pamoja hawafikii idadi ya manabii na mitume ya kinyakyusa na kifaswa iliyopo mbeya na Tanzania Kwa ujumla.
Chambua
Huu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi?
Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa pamoja hawafikii idadi ya manabii na mitume ya kinyakyusa na kifaswa iliyopo mbeya na Tanzania Kwa ujumla.
Chambua
Andika vizur kiongoziHajajaja humo nako ni specoal zote..wanamtafuta vvilivyoo mwokozi waoooo
Ujeruman ndo anaongoza Kwa kuuwa watu ikiwemo wahayudi milion 6, niambie UKo zenji wamechinja wangapi Hadi kufikia Leo?Wala urojo na ngisi kutoka visiwani wana wachinjaji wengi kuliko wamasai wenye mifugo
Ningependa tuchambue mada kwanzaWanaenda mbinguni mwakani?
Andika KiswahiLMutoleke oswe na tukobha koma embulo syenu mupelike aseee mukotojobha
Wana Mbeya wengi ni walokole.Hata ukija kwa waimbaji wa nyimbo za injili; karibia 3/4 ya waimbaji wote wa nyimbo za injili ndani ya Afrika ya mashariki wanatokea Mbeya!