Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Hata malaika wako hukoHuu ni utafiti mdogo usio rasmi ambao unaoenesha karibu Kila mtaa au Kijiji huko Mbeya kina nabii mmoja na mtume mmoja, Hali ambayo hata UKo Kwa wayahudi Toka enzi na enzi Hadi Sasa haijwahi tokea, swali je hii comeback ya ajabu imetokea wapi?
Maana hata ukichanganya waarabu na wayahudi Kwa pamoja hawafikii idadi ya manabii na mitume ya kinyakyusa na kifaswa iliyopo mbeya na Tanzania Kwa ujumla.
Chambua
Juzi kati ametokea Malaika Mwambegeje