Utafiti: Wanyakyusa wana manabii na mitume wengi kuliko wayahudi

Wana Mbeya wengi ni walokole.
Aisee Mbeya hakuna walokole. Labda kama umemaanisha watu wanaosali kwenye Makanisa yanayoitwa ya Kilokole, nitakubaliana na wewe. Na uzuri nimeishi Mbeya kwa miaka kadhaa. Kwa hiyo ninaifahamu in and out.
 
Weeeee!!!
 
Bora umesema utafiti mdogo maana hata ukweli na uhalisia wake ni mdogo. Naishi mtaa ambao mtume wake ni mzee Mwingira toka Dar es salaam sio Mbeya.

Kwa wayahudi una uhakika gani manabii walioandika ndio haohao unaowafahamu?
 
Wala urojo na ngisi kutoka visiwani wana wachinjaji wengi kuliko wamasai wenye mifugo
Kuchinja ni dunia nzima,, na mifugo sio ng'ombe tu ambao hao wamasai wanafuga.. kuna ngamia,kwale, kuku etc so hoja yako haina mashiko.. swala zima ni kwamba.. wanyakyusa na wasafa wana mitume na manabii wengi kuliko hata waisrael na waarabu ambao mitume yote imeshuka kwao hii imekaaje na mimi nakazia
 
Na hawa watu wanaongoza kwa uchawi Tanzania nzima
 
Na wachawi ni hao hao, na si wanyakyusa tu bali makabila yote ya Mbeya ni shida tupu.
 
ZINGATIA,HALAFU MANABII WOTE NI FAKE PROPHETI,MANABII WAPIGAJI .
 
Ni wengi hasa
Mzee Mwasapile wa kikombe cha babu Mnyakyusa

Nabii mkuu Geor Davie wa Arusha Mnyakyusa

Mwakasege Mnyakyusa

Mzee wa Upako wa Dar es salaam Mnyakyusa

Mwamposa mnyakusa

Askofu mkuu wa Kanisa la Kikutheri Tanzania Malasusa mnyakyusa

Askofu mkuu wa EAGT Tanzania Mwakipesile Mnyakyusa
 
Inawezekana ndio taifa teule lililotajwa kwenye biblia.
 
Hata makanisa Mbeya ni mengi sana. Chukulia kila moja liwe na Nabii mmoja.
 
Mitume ya kinyakyusa na kisafwa πŸ˜†πŸ€£πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…