johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
73% wameonyesha ni nani?Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya Infotrack kuhusu wenye nafasi ya Kuwa Naibu Rais baada ya Gachagua kuachia ngazi umetoa Matokeo yafuatayo
1. Prof Kindiki 20%
2. Anne Waigiru 5%
3. Raila Odinga 2%
Citizen tv
Ahsanteni sana π
Baba ndio imeisha hiyoNafasi kubwa ipo kwa Professor Kithure Abraham Kindiki hata
mwanzo chama cha UDA ndio kilikuwa kina mtaka yeye ila
Dr. William Ruto akaamua kumchagua Rigadhi Gachagua
Katika hili la Gachagua kufutwa kazi na kupelekwa nyumbani kwao
Mathira Nyeri kaunti nafasi hii itaenda kwa Professor Kindiki kutokea
Meru kaunti bado ni huko huko Mlima Kenya.
Kama wataamua kuzingatia jinsia wanaweza mchagua Anne Waiguru
nae ni wa huko huko Mlima Kenya.
Babaa yeye ataongoza from behind kwa sababu anaenda AU
mwakani kugombea Uenyekiti.
Kwa nini unasema Baba imesha? ππBaba ndio imeisha hiyo
Siasa ni Sayansi ππ
Watu Wadogo Wadogo kwa mfano ingekuwa Chadema tungesema akina Yeriko Nyerere nk ππ73% wameonyesha ni nani?
HIzo % ziko wapi?Watu Wadogo Wadogo kwa mfano ingekuwa Chadema tungesema akina Yeriko Nyerere nk ππ
Inasemekana yeye Raila ameshangia pakubwa Riggy G kuandamwa hiviRaila atakuwa analeta vurugu tu! Muda wake umeisha.
Ruto ni mjanja sana πKwa nini unasema Baba imesha? ππ
Nenda Kwenye tovuti yao utazikuta πHIzo % ziko wapi?
Huyo ni godfather hata akiwa nje ya serikali mambo yake yasipoenda anaweza akawavuruga,,,.....ndo maana wanasiasa hawakauki kwake mambo yakienda tofauti....kila kabila lina kingpin wakeBaba ndio imeisha hiyo
Siasa ni Sayansi ππ
Ni kweli kabisa Raila akiwa bado hai serikali haiwezi kumpuuza ana influence kubwa karibia Kenya nzima.Huyo ni godfather hata akiwa nje ya serikali mambo yake yasipoenda anaweza akawavuruga,,,.....ndo maana wanasiasa hawakauki kwake mambo yakienda tofauti....kila kabila lina kingpin wake
Kwa siasa za Kenya alichaguliwa Odinga Wakikuyu hawatakubaliNafasi kubwa ipo kwa Professor Kithure Abraham Kindiki hata
mwanzo chama cha UDA ndio kilikuwa kina mtaka yeye ila
Dr. William Ruto akaamua kumchagua Rigadhi Gachagua
Katika hili la Gachagua kufutwa kazi na kupelekwa nyumbani kwao
Mathira Nyeri kaunti nafasi hii itaenda kwa Professor Kindiki kutokea
Meru kaunti bado ni huko huko Mlima Kenya.
Kama wataamua kuzingatia jinsia wanaweza mchagua Anne Waiguru
nae ni wa huko huko Mlima Kenya.
Babaa yeye ataongoza from behind kwa sababu anaenda AU
mwakani kugombea Uenyekiti.
Kwa sasa hawezi kuwaacha labda 2027 akishinda uchaguzi. Pia kuna yuleRuto ni mjanja sana π
Sasa anabaki na Wakili wake Kindiki then wanasuka ngome Imara na kuwatema Mawaziri wote wa Raila
Mbona alishakuwa Waziri mkuu enzi za Kibaki. Kwa sasa WakikuyuKwa siasa za Kenya alichaguliwa Odinga Wakikuyu hawatakubali
Waziri Mkuu alikua Hana influence. Ruto achukue Mke Mdogo wa MuigaiMbona alishakuwa Waziri mkuu enzi za Kibaki. Kwa sasa Wakikuyu
wengi adui yao mkubwa ni William Ruto kwa sababu yeye ndio engineer wa
kundolewa kwa kijana wa kutoka Nyeri kuondolewa madarakani.
Odinga ana AU inamsubiri,,,,hapo ngumu labda iwe vingine......ila Ruto kwa sasa kajisogeza karibu na wajaluo kuliko wakikuyuKwa siasa za Kenya alichaguliwa Odinga Wakikuyu hawatakubali
Alikuwa ana influence kumbuka ilikuwa ni serikali ya nusu mkateWaziri Mkuu alikua Hana influence. Ruto achukue Mke Mdogo wa Muigai
Yes yeye anaenda AU, Ruto kawa mjanja kuamua awe karibuOdinga ana AU inamsubiri,,,,hapo ngumu labda iwe vingine......ila Ruto kwa sasa kajisogeza karibu na wajaluo kuliko wakikuyu