Utafiti waonesha wenye nafasi ya kumrithi Gachagua ni Prof Kindiki(20%), Anne Waigiru (5%) na Raila Odinga(2%)

Hapo kikubwa inategemea ulaji, na wakikuyu wanajivuniaga sana idadi yao, ila kwa sasa wamejipanga kuiangusha dynasty ya Kenyata kule mlimani,,,wakiweza baadae wanaweza kuzigawa kura za watu wa mlimani maana sio wote wapo kwenye himaya ya Kenyata
 
Hapo kikubwa inategemea ulaji, na wakikuyu wanajivuniaga sana idadi yao, ila kwa sasa wamejipanga kuiangusha dynasty ya Kenyata kule mlimani,,,wakiweza baadae wanaweza kuzigawa kura za watu wa mlimani maana sio wote wapo kwenye himaya ya Kenyata
Ndindi Nyoro ndio ana nafasi kubwa ya kuwa Kingpin wa Wakikuyu kwa sasa

hata kwenye hili zoezi la Riggy G kapinga yeye kuondolewa na kama Riggy G ataondolewa
madarakani hataweza kugombea tena na kwa kuwa atakuwa na hasira
na serikali lazima atam support Ndindi Nyoro 2027.
 
Ni kweli
 
Unashobokea Demokrasia ya kweli Kenya wakati hapa unasapoti Totalitarianism we jamaa bhana.
 
Nafasi kubwa ipo kwa Professor Kithure Abraham Kindiki hata
mwanzo chama cha UDA ndio kilikuwa kina mtaka yeye ila
Dr. William Ruto akaamua kumchagua Rigadhi Gachagua
Huyu ndio zero kabisa, the real VP ni Odinga maana ndio aliyeshikilia hii serikali, siku akijitoa inaporomoka hapo hapo.
 
Kwavile Odinga bado ni mzima wa afya hakuna mtu mwenye influence ndani ya Kenya, kibaya ni kuwa upande wa Nyanza haonekani mtu wa kuvaa viatu vyake ili iweze kuifunga serikali break.
Upande wa Kenya watu wapinzani wa kweli na wasiopenda kuendeshwa sana ni jamii ya wajaluo, kizuri zaidi ni kuwa vijana wanachukua nafasi ya mtu..

Vijana watakuwa na nafasi ya kuifunga serikali break wasipovurugana, Raila amefanya hivyo baada ya kumpokea baba yake mzee Jaramogi Oginga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…