Utafiti waonyesha tohara kwa wanawake inapunguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI

Wickama

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,466
Reaction score
1,196
Wakuu,
1. Utafiti uliofanywa nchini Tanzania (http://www.tzonline.org/pdf/femalecircumcisionandHIVinfectionintanzania.pdf) umejikuta ukishindwa kueleza ni vipi kuna maambukizi machache sana ya virusi vya UKIMWI miongoni mwa kinamama waliofanyiwa tohara.
Muelezeaji wa utafiti huu The Case Against Infant Circumcision: Female Circumcision & Health Benefits ameeleza kwa kifupi kuwa;
"Stallings et al. (2005) reported that, in Tanzanian women, the risk of HIV among women who had undergone FGC was roughly half that of women who had not; the association remained significant after adjusting for region, household wealth, age, lifetime partners, union status, and recent ulcer"

2. Utafiti uliohusisha makahaba wa Afrika Magharibi (waliotahiriwa na wasiotahiriwa) ulikuta maambukizi machache ya virusi vya ukimwi kwa wale waliotahiriwa;

"Kanki et al. reported that, in Senegalese prostitutes, women who had undergone FGC had a significantly decreased risk of HIV-2 infection when compared to those who had not."
Kanki P, M'Boup S, Marlink R, et al. "Prevalence and risk determinants of human immunodeficiency virus type 2 (HIV-2) and human immunodeficiency virus type 1 (HIV-1) in west African female prostitutes". Am. J. Epidemiol. 136 (7): 895-907. PMID

3. Utafiti uliofanywa nchini kenya mwaka 2010 (Mtafiti: Rosemary Kinuthia http://scholarworks.gsu.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=1113&context=iph_theses) pia ulipata matokeo kama ya hapa Tanzania na Senegal


Wadau mnasemaje? Ndio kusema tohara ya kina mama pia ina faida kama ilivyo kwa wanaume?
 
kwenye huu utafiti kwa sasa nimekubali kuwa kilaza tu, maana inahitaji kuangalia tafiti nyingi zaidi, lakini unajua among complications za FGM ni vitu kama- keloid formation(ambayo inaweza kumfanya msichana aone aibu na tabu kufanya ngono), painfull intercourse( ambayo msichana anaweza kuacha kufanya ngono kabisa), reduced sexual urge coz kama type III FGM wanakata sehemu yote ya utamu kabisa ambayo inaweza kufanya mwanamke asipende kabisa kufanya ngono.

Lakini pia post traumatic stress disorder (PTSD) ambayo inatokana na msichana kupiata kwenye hiyo zahma ya kukatwa na viwembe na visu inaweza kumfanya kwenye maisha yake yote mahusiana ya kijamii na hasa wanaume yakawa mabaya hence kutofanya ngono au kupunguza...

Probaly hizi complication za FGM zinaweza kuachangia WANAWAKE WA MAENEO hayo wasishiriki NGONO sana na kuafanya maambukizi katika maeneo yao kuwa chini...!!! lakini SIDHANI kama kuna BIOLOGICAL explanation kama circumcision kwa wanaume inavyosaidia kupunguza maambukizi ya HIV...

Na ni challenge tu ili kuendeleza mjadala kama wanawake waliopitia FGM wanashidwa kuparticipate kwenye ngono na kupunguza maambukizi sidhani kama inatakiwa iwe ni njia ya kupunguza maambukizi...!!
 
sr bachelor,

Shukran mkuu, tatizo ni kuwa utafiti wa Senegal ulii-involve prostitutes. Kwa kundi hili la sex-workers bado matokeo yake ni sawa na huu wa Tanzania. Kwa prostitutes, utakubali suala la aibu wala sexual urge halipo. Yet pattern ni sawa na hii ya Bongo.

cc miss chagga, Tarime one, Eiyer,
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kweli Tarime hakuna ngoma

Mkuu, ngoma haiwezi kukosekana. Issue kubwa itakuwa ni rate/kasi ya maambuki.

Huko awali hata tohara ya wanaume ilianza kupingwa na wenzetu wa magharibi. eventually wakapata matokeo ya utafiti kuwa wanaume waliotahiriwa hawaambukizwi HIV kwa kasi kama wasiotahiriwa. Lile baragumu la kuita tohara kwa wanaume kama ushenzi likafa. Badala yake wakaanza kuipigia upatu. Ajabu ni kuwa utafiti unaonesha kuna similar benefits kwa wanawake hata makahaba.

Hapa pana ukimya kwa sababu pesa na tarumbeta zimeelekezwa kwenye kutokomeza hii mila. Haya mabo yapo available online. Huu tafiti wa Tanzania hata NIMR (taasisi yetu ya Utafiti-Medical) ilishiriki na inajua. Ila hatusikii wakiisema hadharani. WHY?

cc sr bachelor, CHAMVIGA,
 
hata mimi ni kidume 18yrs cjtailiwa, and ukwel ni kwamba ukimwi hauzuiliwi kwa tohara, ata muwakataje ni xawa na bure 2, am proud to be natural and anatomical complete
 
hata mimi ni kidume 18yrs cjtailiwa, and ukwel ni kwamba ukimwi hauzuiliwi kwa tohara, ata muwakataje ni xawa na bure 2, am proud to be natural and anatomical complete

Mkuu, hakuna aliyesema KUZUIA. Kilichoonekana ni kupungua kasi ya maambukizi ya VVU katika wale waliofanyiwa tohara ukilinganisha na wasiofanyiwa
 
Sorry,i don't even believe this "thing" exist ......!!
 
Sorry,i don't even believe this "thing" exist ......!!

Mkuu Eiyer,

Hata mimi sikuamini kuna issues kama hizi. Mara nyingi tunaadhibiwa sana na cultural values. In fact kama sio HIV hata male circumssion ilishaanza kupingwa na wenzetu wa magharibi. Kwa mfano, kuna huu utafiti mwingine wa Georgia State University (Atlanta USA) alioufanya Rosemary Kinuthia (2010) kama part ya MSc Thesis yake kule central Kenya naye pia alipata matokeo kama huu wa Tanzania na Senegal.

http://scholarworks.gsu.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=1113&context=iph_theses

madaktari wetu watuelimishe nini kinajiri hapa na mbona haya hayawekwi wazi!


cc sr bachelor, geniusbaraka, Karucee, Fadhili Paulo, miss chagga, Tarime one
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hapa kuna hadithi zaidi ya uhalisi

Thambo Mbeki na wadhifa aliokuwa nao na elimu yote ile alikataa kuwa HIV inaenezwa kwa ngono,alipotoa hilo tamko walimjia juu sana na sijui walitaka watu waendelee kuamini ili waache kuzaliana au vipi

Hii ni sawa na kauli ya Chriss Brown kuwa Ebola ni ishu ya kupunguza idaid ya watu,wamemjia juu sana huyu jamaa,hivi unataka kun iambia nae huyu anasoma hivi vijarida kama vyetu? Hivi inamaana hajui kabisa anachokizungumza?

Tatizo hapa mkuu ni kwamba,mtu ambae anammiliki mbwa akimuwekea sumu kwenye nyama ambayo inanukia vizuri,halafu ukawa unamkataza mbwa kula ile nyama atakung'ata kwasababu kuu mbili

1;Anamuamini sana anaemfuga
2;Wewe hakujui na anakuona kama mwizi tu

Kwenye hali kama hii ni hatari sana mkuu!
 
There could never be anything right about FGM. Its mutilation for crying out loud! Do people think about the trauma?

If i may ask, why is there no trauma when it comes to male genital (not mutilation) circumcision?
 
If i may ask, why is there no trauma when it comes to male genital (not mutilation) circumcision?

Because it is right from all angles. Such as religious and medical.

What reasons are there for the circumcision of women?
 
Contradictions hizi katika research findings ndizo zinanifanya nisiamini kuwa male (yes, I mean male) genital mutilation ni protective against HIV infection!
 
Because it is right from all angles. Such as religious and medical.

What reasons are there for the circumcision of women?

Thanks, the researches i appended were actually medical researches. They don't differ in their findings with a more recent study (2010) conducted in Kenya by Rosemary Kinuthia, herself a public health professional. research is about generating knowledge. Though there is no dispute that human societies have conducted circumcision on both sexes for thousands of years, that being done on women has recently been receiving very negative publicity and eventually it is now enjoying political will of having it stopped. Some researchers though prefer to remain objective on such matters. To be honest with you, not many establishments LIKE the findings on possible benefits of female circumcision.

http://scholarworks.gsu.edu/cgi/viewcontent.cgi?article=1113&context=iph_theses


In western world there are many women who undergo a surgery procedure called "vaginal revitalization". Am not sure if it is more "humane"

deliberately i have not posted any religious attachments to the topic as i find them emotionally divisive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…