Utafiti waonyesha tohara kwa wanawake inapunguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI

Utafiti waonyesha tohara kwa wanawake inapunguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI

Jawabu ni rahisi. Senegal ukahaba ni halali na makahaba wanatakiwa kupima na kupewa vyeti vya negative ndio waruhusiwe kufanya ukahaba, sio kwamba ni kwa vile wamekeketwa!

OFFERING sex for money (solliciting) is illegal in Senegal, but having sex for money is not. In th is mostly Muslim African country, a sex worker may ply her trade as long as she is registered as a prostitute, has regular check-ups at a designated clinic and is discreet. Dakar, Senegal's capital, is one of the commercial sex capitals of Africa, with prostitutes coming from all over the sub-region as well as the Middle East. Why then does Senegal have one of the lowest number of AIDS cases in Africa - less than 3,000, in a population of 8.3 million? The World Health Organisation (WHO) says that legalising prostitution is part of the reason. Senegal's government has been registering sex workers since 1966 - long before AIDS was ever heard of - to combat sexually transmitted diseases (STDs) like Syphilis and Gonorrhoea.
source: AIDS is no problem among Senegal's legal prostitutes | Chauya Chauya - A Risky Life
 
Jawabu ni rahisi. Senegal ukahaba ni halali na makahaba wanatakiwa kupima na kupewa vyeti vya negative ndio waruhusiwe kufanya ukahaba, sio kwamba ni kwa vile wamekeketwa!

Mkuu, research ya Senegal ilii-involve makundi yote mawili. Yaani waliokeketwa na wasiokeketwa lakini wote ni makahaba
 
Mkuu, ngoma haiwezi kukosekana. Issue kubwa itakuwa ni rate/kasi ya maambuki. huko awali hata tohara ya wanaume ilianza kupingwa na wenzetu wa magharibi. eventually wakapata matokeo ya utafiti kuwa wanaume waliotahiriwa hawaambukizwi HIV kwa kasi kama wasiotahiriwa. Lile baragumu la kuita tohara kwa wanaume kama ushenzi likafa. Badala yake wakaanza kuipigia upatu. Ajabu ni kuwa utafiti unaonesha kuna similar benefits kwa wanawake hata makahaba. Hapa pana ukimya kwa sababu pesa na tarumbeta zimeelekezwa kwenye kutokomeza hii mila. Haya mabo yapo available online. Huu tafiti wa Tanzania hata NIMR (taasisi yetu ya Utafiti-Medical) ilishiriki na inajua. Ila hatusikii wakiisema hadharani. WHY?

cc sr bachelor, CHAMVIGA,
Kwa wanaume kuna bailogical explanation ya faida za circumsicion, ila kwa wanawake, hakuna, labda physical na psuchological trauma inawafanya wachukie ngono..
 
shukran mkuu, tatizo ni kuwa utafiti wa Senegal ulii-involve prostitutes. Kwa kundi hili la sex-workers bado matokeo yake ni sawa na huu wa Tanzania. Kwa prostitutes, utakubali suala la aibu wala sexual urge halipo. Yet pattern ni sawa na hii ya Bongo.

cc miss chagga, Tarime one, Eiyer,
Ila ukiangalia hizo tafiti zinaacha maswali mengi sana..lakini tunajua biology ya maumbile ya wanawake sioni ni namna gani kuondoa clitoris na labia major au minora kunaweza kuzuia hiv virus..kwa wanaume u can explain biologicaly
 
shukran mkuu, tatizo ni kuwa utafiti wa Senegal ulii-involve prostitutes. Kwa kundi hili la sex-workers bado matokeo yake ni sawa na huu wa Tanzania. Kwa prostitutes, utakubali suala la aibu wala sexual urge halipo. Yet pattern ni sawa na hii ya Bongo.

cc miss chagga, Tarime one, Eiyer,
Mkuu huu uzi wangeuweka sticky ili tuzame kidogo..hasa kwenye tafiti zinazozungumzia hili swala ingekua vzr sana..
 
Back
Top Bottom