Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kg 70 ni uzito ulio pitiliza kwa umri gani?
Unatakiwa upime Body Mass Index(BMI) ili ujue kama una uzito mkubwa au laa.Naona huo mzani unasoma kg 71Kg 70 ni uzito ulio pitiliza kwa umri gani?
Nina miaka Nafanya mazoez siku 4 katika wiki.
Kgs nilizo nazo ni sawa na umri wangu?
sky Eclat
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787]Wana upunguvu wa kufikiri na hua wakikasirishwa hawanaga uwezo wa kufanya lolote zaidi ya kusema "ACHENI UTOTO BASI"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubongo unaacha kukua pale unapoacha kusoma/kujisomea/kutafuta maarifa zaidi.Mwifwa!mwifwa!
Hivi ubongo unasimama hatua yake ya ukuwaji baada ya muda gani?
Na.je? Nikiwa na BMI isiyo ya kawaida kwa kipindi ambacho nilichofikia na hatua ya ukuwaji ya ubongo imestop,that means ubongo utaanza kupungua size yake?
Mwifwa! mwifwa! Jambooo
Sent using Jamii Forums mobile app