Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.

Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao, nyimbo za bongo fleva, reggae, nyimbo za kiingereza iwe rap n.k, wanabadilisha mara kwa mara leo harmonize, kesho sijui Harmorapa, mara Beyonce n.k

Hii ni tofauti sana na watumiaji wa brands zingine kama Iphone, Samsung, Oppo , Xiaomi na wengineo. Watumiaji wa kampuni hizi zingine hutumia mtetemo(vibrations) na ringtones zinazokuja na simu moja kwa moja.

Kwa udadisi wangu nimebaini watu hawa hufanya hivyo ili kuvuta attention ya watu wengine ili ionekane na wao wanamiliki simu janja (smartphone).
Wengine ni wale wanaotoka up country hivyo wakiingia mjini hutaka kila mtu ajue kwamba na wao wamenunua au wanamiliki simu janja.

Tabia ya watu hawa hufanana na watumiaji wa infinix phones usibishe fuatilia tu

Good morning all[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Membe Jr
 
Na sie tunaotumia Huawei mtatufanyia lini utafiti km huu...?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…