samtot
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 258
- 148
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na sie tunaotumia Huawei mtatufanyia lini utafiti km huu...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Na sie tunaotumia Huawei mtatufanyia lini utafiti km huu...?
Huawei na tecno iko dugu mojaNa sie tunaotumia Huawei mtatufanyia lini utafiti km huu...?
Huawei na tecno iko dugu mojaNa sie tunaotumia Huawei mtatufanyia lini utafiti km huu...?
Na ringtone yako ya Harmonize 😂😂Kwani kuna mtu anateseka? Nipo na Teco WX4 yangu hapa nakula maisha tu.
Barafu la moto
Android katubeba aiseeMiaka ya 2009-2011 BlackBerry zilikuwa chart kinoma, ikawa eti wenye hizo simu wanaandaa BBM party.
Yaani mwendo wa kuulizana pin, huna BlackBerry wewe siyo.
Huu ubaguzi haukuanza leo.
Android katubeba aisee
Ilikuwa noma sana.
Mi nilinunua simu kisa instaparty iliyondaliwa na wema
afu kipindi hio jero mbs kama zote.Halafu sasa ubaya wenyewe inabidi uwe na package yake ambayo haihusiani na kupiga wala kutuma SMS.
Otherwise hata uwe na MB ngapi JF huingii.
Yaani nikiishiwa bundle la BlackBerry nilikuwa natumia operamini kiasi ilikuwa inakubali kuingia JF na baadhi ya sites kama BBC.
afu kipindi hio jero mbs kama zote.
😅😅😅😅😅😅😅Jero unapata 500mbs, 20 minutes za kupiga. Halafu eti hazina kazi hizo MBs
😅😅😅😅😅😅😅
BlackBerry alikuwa nyoko. Nakumbuka kuna mtu aliwahi piga akaniletea nilizunguka mwanza zima kuiactivate. Mwisho wa siku nikaipiga mnada
Unajua maana ya utafiti?Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.
Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao, nyimbo za bongo fleva, reggae, nyimbo za kiingereza iwe rap n.k, wanabadilisha mara kwa mara leo harmonize, kesho sijui Harmorapa, mara Beyonce n.k
Hii ni tofauti sana na watumiaji wa brands zingine kama Iphone, Samsung, Oppo , Xiaomi na wengineo. Watumiaji wa kampuni hizi zingine hutumia mtetemo(vibrations) na ringtones zinazokuja na simu moja kwa moja.
Kwa udadisi wangu nimebaini watu hawa hufanya hivyo ili kuvuta attention ya watu wengine ili ionekane na wao wanamiliki simu janja (smartphone).
Wengine ni wale wanaotoka up country hivyo wakiingia mjini hutaka kila mtu ajue kwamba na wao wamenunua au wanamiliki simu janja.
Tabia ya watu hawa hufanana na watumiaji wa infinix phones usibishe fuatilia tu
Good morning all[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
umeona. Tumetoka mbali kuanzia operation 3....hadi leo tunastream. Ukiwa na operamini ya👆kamkono.unajiskia. kweli shikamoo Android. ..Android ashukuliwe aisee.
umeona. Tumetoka mbali kuanzia operation 3....hadi leo tunastream. Ukiwa na operamini ya👆kamkono.unajiskia. kweli shikamoo Android. ..