Utafiti: Watumiaji wa simu za Tekno huweka nyimbo za kawaida kama miito ya simu zao

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…katecno ka elfu 75.who ngengenge ngengenge. Batshwain...."manara's voice"
 
Miaka ya 2009-2011 BlackBerry zilikuwa chart kinoma, ikawa eti wenye hizo simu wanaandaa BBM party.

Yaani mwendo wa kuulizana pin, huna BlackBerry wewe siyo.

Huu ubaguzi haukuanza leo.
 
Miaka ya 2009-2011 BlackBerry zilikuwa chart kinoma, ikawa eti wenye hizo simu wanaandaa BBM party.

Yaani mwendo wa kuulizana pin, huna BlackBerry wewe siyo.

Huu ubaguzi haukuanza leo.
Android katubeba aisee
Ilikuwa noma sana.
Mi nilinunua simu kisa instaparty iliyondaliwa na wema
 
Android katubeba aisee
Ilikuwa noma sana.
Mi nilinunua simu kisa instaparty iliyondaliwa na wema

Halafu sasa ubaya wenyewe inabidi uwe na package yake ambayo haihusiani na kupiga wala kutuma SMS.

Otherwise hata uwe na MB ngapi JF huingii.

Yaani nikiishiwa bundle la BlackBerry nilikuwa natumia operamini kiasi ilikuwa inakubali kuingia JF na baadhi ya sites kama BBC.
 
afu kipindi hio jero mbs kama zote.
 
Jero unapata 500mbs, 20 minutes za kupiga. Halafu eti hazina kazi hizo MBs
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
BlackBerry alikuwa nyoko. Nakumbuka kuna mtu aliwahi piga akaniletea nilizunguka mwanza zima kuiactivate. Mwisho wa siku nikaipiga mnada
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
BlackBerry alikuwa nyoko. Nakumbuka kuna mtu aliwahi piga akaniletea nilizunguka mwanza zima kuiactivate. Mwisho wa siku nikaipiga mnada

Android ashukuliwe aisee.
 
Unajua maana ya utafiti?
 
Enzi hizo michuzi blog ndio unapita habari zote.
Nakumbuka nilikuwa naenda cyber cafe kuchek mastori gangamix. Hatari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…