Utafiti!!

Utafiti!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
6,158
Reaction score
4,449
Utafiti wa Kisayansi unaonyesha.
1. 1. Asilimia 70 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa kusoma kiswahiri.

2. 2. Asilimia 90 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa kusoma kiingereza cha awali.

3. 3. Asilimia 80 ya wanafunzi wa darasa la tatu hawawezi kabisa hesabu za msingi kama kuzidisha na kutoa.

Ikumbukwe pia wahanga wa hiyo hali wengi ni wapiga kula walio vijijini ambao hawajui ghalama ya kuuza kura kwa T-shirt na kofia zitokanazo na kodi yao wenyewe.
Watanzania tufanye nini ili kuepukana na hii hali?

SOURCE: http://www.uwezo.net/uploads/files/Uwezo Key Findings Sept 16.pdf

Eti eeh?
 
Labda tuijadili credibility ya Watafiti kwanza
 
Back
Top Bottom