Hongera! Ili uweze kupata data, ni lazima waJF, uwaambie mambo makuu yafuatayo:
1. Malengo mahususi ya utafiti wako kwa maana, neno changamoto ni "vague term in research" au maswali ambayo utafiti wako unaenda kuyajibu.
2. Methodolojia yako, ya utafiti wako kwa maana ya Mpango kazi wa utafiti wako, zikiwemo na aina ya data, mbinu za kukusanya data hizo, namna utakavyo chambua( Mbinu ya uchambuzi wa data zako). Eneo lengwa na wahusika katika utafiti wako, na namna, utakavyopima " variables" zako.
3. Kwa kifupi basi ungetoa walau dodoso la utafiti wako.
ZIADA: Technically you are not doing a research per se!