Oluoch
Senior Member
- Aug 30, 2010
- 134
- 29
Habari zenu ndugu zangu!
Mimi ni mwanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ninayesomea Shahada ya Kwanza ya Sheria. Ninafanya utafiti kuhusu CHANGAMOTO ZA KISHERIA ZINAZOWAKABILI MAAFISA UHAMIAJI KATIKA KUPAMBANA NA WAHAMIAJI HARAMU. Nimejaribu kusanya data toka Uhamiaji Makao Makuu na Pia Uhamiaji Wilaya ya Tarime.
Hivyo kama kunawezekana kukawepo na data zaidi kuhusu utafiti huu ni vyema tukashirikishana kupitia jukwaa hili.
Asanteni sana!